Paula kaenda kusomea kitu gani huko Uturuki?

Hata usinisingizie. Saa ngapi nimesema hayo[emoji15]
 
weeh Elimu ya bongo ni kisanga boss

Nimekuelewa sana Ali,
Wewe unataka kuonyesha kuwa mtoto aliyefeli na aliyepata division I wote wana uwezo unaofanana kwa kigezo cha kusoma nje ya nchi tu? Yaani huoni kama hiyo ni dharau?
 
We jamaa mbea km marehemu warumi

Watanzania hata hamjui mnataka nn kila kitu Ni shida
Ila atakuwa anamgeza Sonia maana nae kaenda nje kusoma
 
Mambo yake muachieni mwenyewe...

Labda kaenda kusomea urembo...
 
We jamaa mbea km marehemu warumi

Watanzania hata hamjui mnataka nn kila kitu Ni shida
Ila atakuwa anamgeza Sonia maana nae kaenda nje kusoma
Angekuwa warumi asingeuliza,angetuhabarisha Paula anasomea nini
 
Istanbul mji wenye historia ya Mapisi ya kila aina....50$ 30& una pata pisi GREDI moya 12hrs
 
Nimekuelewa sana Ali,
Wewe unataka kuonyesha kuwa mtoto aliyefeli na aliyepata division I wote wana uwezo unaofanana kwa kigezo cha kusoma nje ya nchi tu? Yaani huoni kama hiyo ni dharau?
tena kubwa mnoo
 
Hivi umeishia darasa la ngapi? Mbona hata Kiswahili unashindwa kukiandika kiufasaha huku ukiwa busy ku judge maisha ya watu?
'nawasiwasi' ndiyo utumbo gani?
sijawahi kanyaga shule mm.
 
Wallah hadi leo huyo paula simjui[emoji19],
 
Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo.

Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
Medicine
 
Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo.

Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
Ndio nani huko daslamu?! Alafu huko mjini dar watu wote huwa mnafahamiana.?!
 
Kile kichwa na shule wapi na wapi?
Labda kama kaenda kusomea umalaya.
Utapata watoto/ wajukuu wa kike, ulichotamka juu ya PAULA hakitakuacha salamaa kwenye uzao wako. Tubu omba msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…