Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Hata usinisingizie. Saa ngapi nimesema hayo[emoji15]PM yangu ipo wazi ila imeunganishwa na mfumo wa NECTA! Kwa ambaye hakufaulu form four, itakataa kufunguka, maana ni kwa wale wenye cheti tu. Nakushauri urudie hata masomo matatu angalau upate angalau D mbili maana hata ukiwa na D moja, haitafunguka. Mrs Van kwa vile alishinda form four, kaingia kiulaini na amenituma nikupe salamu za pole na kukupa moyo wa kuanza QT. Una la ziada ? Bwaga index number yako hadharani inayoanza na P na wala si Sxxxx/xxxx/20xx