Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.

Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula hana amani kabisa,kula hali hana furaha kabisa yani kutokana na kuvurunda katika matokeo yake.

Nitawajuza zaidi ngoja niendelee kupeleleza zaidi na zaidi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
 
Katoto kanashinda insta walahi mama yake anakivalisha vichupi unazani kitaipatia wapi dv one,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beauty with no brain

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…