Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Hamna mzee,ajifunze alipokosea tu

Asirudi nyuma tu,kupambana ndo kilichobaki
Mtoto wa kike akisha fail ni basi hana option nyingine kwa maisha ya sasa hivi, biashara hawawezi, labla atokee kigogo amuoe...


Au aendee akavute bangi na baba yake studio kwake
 
Ukitaka upate mafanikio makubwa,tumia kipaji ulichonacho mfano (mpira,kupigana,muziki,ubunifu n.k);elimu ni pata potea unaweza kufanikiwa au usi fanikiwe.
 
Back
Top Bottom