Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Hivi kwani watu huwa hawafail??yeye si ni kama wengine tu,sidhani kama ni vyema kumjugde.
 
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.

Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula hana amani kabisa,kula hali hana furaha kabisa yani kutokana na kuvurunda katika matokeo yake.

Nitawajuza zaidi ngoja niendelee kupeleleza zaidi na zaidi.

View attachment 1004347

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema unapendaaga kufatilia mambo ya watu wewe utakuwa ndio wale wanaume wa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.

Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula hana amani kabisa,kula hali hana furaha kabisa yani kutokana na kuvurunda katika matokeo yake.

Nitawajuza zaidi ngoja niendelee kupeleleza zaidi na zaidi.

View attachment 1004347

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Life Style aliyoishi amejitahidi hata hiy ZERO.
 
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.

Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula hana amani kabisa,kula hali hana furaha kabisa yani kutokana na kuvurunda katika matokeo yake.

Nitawajuza zaidi ngoja niendelee kupeleleza zaidi na zaidi.

View attachment 1004347

Sent using Jamii Forums mobile app
Malezi tu ndo tatizo.yule wa Monalisa kapata div 1.
 
Back
Top Bottom