Angewekeza kivipi, mtu anapoanza shule anakuwa na hiyo akili ya kufanya maamuzi? Mfumo wetu wa elimu ni Kama vile kusoma sekondari ni kitu cha lazima.Acheni kuendelea kujifariji na hii kauli,mtu anapata zero miaka minne,sasa huo mda alioutumia shule si angewekeza katika maisha si angekuwa mbali zaidi.
Yah ni pass lkn kwa ufaulu huo sidhani kama kuna advance itamkubali maana History ana F na phys hajasomaDivision 4 ni pass. Amefaulu
Sure Mkuu.Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Alternative zipo nyingi sio lazima advanceYah ni pass lkn kwa ufaulu huo sidhani kama kuna advance itamkubali maana History ana F na phys hajasoma
Wanaangalia idadi ya D na C (angalau)Haya matokeo mbona hayana ushirikiano? Yaani mtu somo moja apate A, F tatu na D...how's that possible?
Sent using Jamii Forums mobile app
vyuo vya kati kuanzia cheti kuelekea diploma
vyuo vya kati kuanzia cheti kuelekea diploma
Ni kweli kwa A-level hawezi kwenda labda arudie mtihani,ila kwa vyuo vya kati ataenda nikiwa na maana ya kuwa atasoma diploma miaka 3 (1 cheti,2 diploma).
Ni kweli kwa A-level hawezi kwenda labda arudie mtihani,ila kwa vyuo vya kati ataenda nikiwa na maana ya kuwa atasoma diploma miaka 3 (1 cheti,2 diploma).
Beauty with no brain
Kweli elimu sasa hivi imukuwa mazoea wachache wanaitilia mkazo.Yani hiyo kauli inatumika vibaya inaonekana mtu akisoma anapoteza mda,wengi ambao awajasoma wamefanikiwa,wanasema wenyewe wangesoma wangekuwa zaidi ya hapo.Angewekeza kivipi, mtu anapoanza shule anakuwa na hiyo akili ya kufanya maamuzi? Mfumo wetu wa elimu ni Kama vile kusoma sekondari ni kitu cha lazima.
Inawezekana nguvu nyungi aliwekeza kwenye lugha,pia masomo mengine aliyofeli ni 'technical' kama hujui hujui tu hayaitaji 'grammar'Duuh haujanielewa, sizungumzii kwenda A level, chuo au wapi. Nashangaa kwamba inakuwaje kapata A ya kiingereza halafu masomo mengine kapata F na D za kutosha, alishindwaje kubalansi
Sent using Jamii Forums mobile app
Somo ambalo tunaweza kusema ni technical ni hilo biology ndio kafaulu tena. Nitamsamehe kwenye Math ila History, Civics, Geography kama unajua lugha inakubeba vizuri kabisa. Na inawezekanaje English mtu apate A halafu literature apate F? Kweli?Inawezekana nguvu nyungi aliwekeza kwenye lugha,pia masomo mengine aliyofeli ni 'technical' kama hujui hujui tu hayaitaji 'grammar'
ila hii kauli huwa si kweli kiviile, maana walio feli tz n wengi ila khali zao za maisha wengi ni tete ukiacha wale wachache walio toboa.Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Ndio hivyo imeshatokea,'no way';na maisha yanatakiwa yaendelee.Somo ambalo tunaweza kusema ni technical ni hilo biology ndio kafaulu tena. Nitamsamehe kwenye Math ila History, Civics, Geography kama unajua lugha inakubeba vizuri kabisa. Na inawezekanaje English mtu apate A halafu literature apate F? Kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuuNdio hivyo imeshatokea,'no way';na maisha yanatakiwa yaendelee.
Yep