Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Inasikitisha kama mpka leo kuna wanaume na wanawake tunaanzisha nyunzi hapa kumnanga binti ambae anahitaji msaada wetu positively ili kumsaidia kupambana zaidi katika elimu. Hebu tubadilike watanzania wenzangu. Paula bado ni mtoto tusimkatishe tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kuendelea kujifariji na hii kauli,mtu anapata zero miaka minne,sasa huo mda alioutumia shule si angewekeza katika maisha si angekuwa mbali zaidi.
Angewekeza kivipi, mtu anapoanza shule anakuwa na hiyo akili ya kufanya maamuzi? Mfumo wetu wa elimu ni Kama vile kusoma sekondari ni kitu cha lazima.
 
Duuh haujanielewa, sizungumzii kwenda A level, chuo au wapi. Nashangaa kwamba inakuwaje kapata A ya kiingereza halafu masomo mengine kapata F na D za kutosha, alishindwaje kubalansi
Ni kweli kwa A-level hawezi kwenda labda arudie mtihani,ila kwa vyuo vya kati ataenda nikiwa na maana ya kuwa atasoma diploma miaka 3 (1 cheti,2 diploma).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angewekeza kivipi, mtu anapoanza shule anakuwa na hiyo akili ya kufanya maamuzi? Mfumo wetu wa elimu ni Kama vile kusoma sekondari ni kitu cha lazima.
Kweli elimu sasa hivi imukuwa mazoea wachache wanaitilia mkazo.Yani hiyo kauli inatumika vibaya inaonekana mtu akisoma anapoteza mda,wengi ambao awajasoma wamefanikiwa,wanasema wenyewe wangesoma wangekuwa zaidi ya hapo.
 
Duuh haujanielewa, sizungumzii kwenda A level, chuo au wapi. Nashangaa kwamba inakuwaje kapata A ya kiingereza halafu masomo mengine kapata F na D za kutosha, alishindwaje kubalansi

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana nguvu nyungi aliwekeza kwenye lugha,pia masomo mengine aliyofeli ni 'technical' kama hujui hujui tu hayaitaji 'grammar'
 
Inawezekana nguvu nyungi aliwekeza kwenye lugha,pia masomo mengine aliyofeli ni 'technical' kama hujui hujui tu hayaitaji 'grammar'
Somo ambalo tunaweza kusema ni technical ni hilo biology ndio kafaulu tena. Nitamsamehe kwenye Math ila History, Civics, Geography kama unajua lugha inakubeba vizuri kabisa. Na inawezekanaje English mtu apate A halafu literature apate F? Kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
ila hii kauli huwa si kweli kiviile, maana walio feli tz n wengi ila khali zao za maisha wengi ni tete ukiacha wale wachache walio toboa.

ivi mateja, changudoa, vibaka wengi ni kundi lipi?

kufaulu hakukupi uhakika wa maisha ila kidogo unakupa mwanga kuliko walio feli.
 
Somo ambalo tunaweza kusema ni technical ni hilo biology ndio kafaulu tena. Nitamsamehe kwenye Math ila History, Civics, Geography kama unajua lugha inakubeba vizuri kabisa. Na inawezekanaje English mtu apate A halafu literature apate F? Kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo imeshatokea,'no way';na maisha yanatakiwa yaendelee.
 
Back
Top Bottom