Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Bongo MABULLY wengi sana..sasa mtoto mdogo anaweza kua mwanao unamfungukia uzi...hapowe mwenyewe hata darasa la saba hujamaliza....arudi ahule na niwapongeze wazazi wake kwa kumueka mbali na bongo muvi.....kama imemuuma hadi kalia akirudia atafaulu
 
Ukiweka maisha yako kwenye mitandao uwe tayari kulipa gharama zake.

Aliimba Profesa Jay, U star ni mzigo wa miba
 
Sonia wa Monalisa na Tyson (RIP) amepata div One na A mathematics. Anaenda kusoma ECA.
 
Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Wengine wakuu wa mikoa mikubwa sasa hivi tena wengine ni washauri wakubwa wa raisi
 
Back
Top Bottom