Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

unajifanya upendi ukuda halafu unazunguaka kwenye hili jukwaa? acha uongo na unafiki uende mbinguni
Haaha
tenor(2).gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya matokeo mbona hayana ushirikiano? Yaani mtu somo moja apate A, F tatu na D...how's that possible?
Kwa ufaulu huo anaenda chuo hivi vya elimu ya kati,na akikaza buti anaweza fika chuo kikuu na kama atendelea kielimu zaidi pia anaweza fika kiwango kingine cha elimu(hata kuwa profesa) kama ana mpango huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom