Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Angalìa na lile la pili yake alivyoliandika piaUngepata 4 ungeweza kuandika "interior" badala ya "enterior" sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalìa na lile la pili yake alivyoliandika piaUngepata 4 ungeweza kuandika "interior" badala ya "enterior" sio?
BashiteKufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Kwa combination gani hapo?
HahaaView attachment 1004372
Nyuzi sita kisa paula kajala utadhani ulikua unawasaidia wazazi wake kulipa ada
Ningeandamana toka dar mpaka piheramihoKatoto kanashinda insta walahi mama yake anakivalisha vichupi unazani kitaipatia wapi dv one,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia jina lako na ulivhoandika nimeamua nikae kimya tu
Hahaha atii !!?Kwa Life Style aliyoishi amejitahidi hata hiy ZERO.
Haahaunajifanya upendi ukuda halafu unazunguaka kwenye hili jukwaa? acha uongo na unafiki uende mbinguni
Lol sasa mtu kama huyo angefaulu siungekuwa nimiujiza .... kupanga nikuchagua aise
😂😂😂
Kwa ufaulu huo anaenda chuo hivi vya elimu ya kati,na akikaza buti anaweza fika chuo kikuu na kama atendelea kielimu zaidi pia anaweza fika kiwango kingine cha elimu(hata kuwa profesa) kama ana mpango huo.
Division 4 ni pass. Amefaulu