Pauline Gekul ajibu tuhuma za kumdhuru na kumdhalilisha kijana

of course, kuna tuhuma nyingine kadhaa huyu mama alishatuhumiwa nazo. kwani ana shida gani?
 
Katemwa tayari, hakujua Kama cheo ni dhamana huyu.View attachment 2825010
kifuatacho, iwe kama alivyofanywa sabaya. sweka rumande kabisa. viongozi wetu wakipata madaraka, huwa wanajisahau sana. huyu si alikuwa chadema anahangaishwa na kina mbowe juzi tu hapa, amehamia ccm wamempa ulaji amesahau yote. kweli mwanamke umwingizie mwanaume chupa kwenye sehemu za siri, ukatili gani huo? si asaidie ndugu zeke kule babati waache kukeketana hadi adhalilishe wanaume namna hii? au nia yake alitaka amgeuza kijana wa watu awe shoga? na ni Naibu waziri wa sheria. sheria inatakiwa ichukue mkondo wake.
 
Wanaccm wao walisemaje kuhusu hili tukio?

Au wao hayawahusu
 
Ndio tabia zao. Yaani huko chini wanafanyia watu mambo mabaya sana.

Mambo ya Inya kuchomeka vitu inaonekana ni michezo yao ndio maana hawaoni kinyaa wala huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…