Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Ruzuku ziliwe na Mbowe halafu uchaguzi uchangiwe na wabunge ...huo ndio upuuziShe has poor reason....
Alipaswa kusema wazi tu kuwa ameamua kuunga juhudi za mheshimiwa rais(Nasi tungejua kuwa amefika bei).
Hakuna jipya.
Kila anayehama lazima mumpambe!Huyu mwanadada hajawahi kuacha kuwaongelea watu wake
Chongeni tena tuchukue mwingineWacha awahi deadline!
2020 hilo jimbo linaenda ccm.Sio habar ya kushangaza ila. Najua watalia sana 2020 hawatakua na nafasi wala dhamani ndani ya ccm by that time
Pauline Gekul ni kamanda wa ukweli ...sio wa kubezwaTunamtakia heri anapoanza maisha mapya na mwenza wake mpya.