Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Wacha waendelee kujichuja kwani tunahitaji makamanda wachache tu na umma mkubwa wa watanzania kuleta mabadiliko.
 
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!

CHADEMA watendelea kupia kelele za kununuliwa, lakini kuna tatizo wanafunika, na iko siku kila kitu kitakuwa wazi.
 
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
Acha kuandika breaking news nikulikosea heshima hilo neno mkuu
 
Duh siasa bhana...yani LOWASSA akitoka CCM kuja CHADEMA sio mwanasiasa malaya ila vice versa inakua balaa

Tuacheni ushabiki wa vyama..hama hama hii ni pigo kwa CHADEMA na ni hasara kwa Taifa pia
CHADEMA ikae itafakari ni namna gani kuzui makada wake wasiwe watu wa kununulika

ONYO:USIMWAMINI MWANASIASA
 
Huko Cdm Kuna Shida Kubwa ila Kukubali Hawataki.... Ila shamba la bwana heri mbuzi wa bwana heri watajuana wenyewe.
Msitulazimishe.Mnatamani nchi nzima tuwe CCM?!Hilo kamwe haliwezekani.

Nyie wachukueni wote walio tayari kununuliwa ila kubalini Tume Huru tu basi.
 
Tunamtakia heri anapoanza maisha mapya na mwenza wake mpya.
Wanaounga mkono juhudi ni wabunge na madiwani tu!
Kwanini wnanchi hawamuungi mkono rais ama kwa kurejesha kadi za vyama vingine na kuchukua kadi za ccm ama kujiunga na ccm moja kwa moja?
 
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
Nilijua wanawake labda hamnunuliki. Kumbe na wewe ndo walewale???
 
Chadema kuna tatizo kubwa waache visigizio eti kwa kila mbunge anayehama kanuniliwa.
 
Duh siasa bhana...yani LOWASSA akitoka CCM kuja CHADEMA sio mwanasiasa malaya ila vice versa inakua balaa

Tuacheni ushabiki wa vyama..hama hama hii ni pigo kwa CHADEMA na ni hasara kwa Taifa pia
CHADEMA ikae itafakari ni namna gani kuzui makada wake wasiwe watu wa kununulika

ONYO:USIMWAMINI MWANASIASA
Kwani wanaohama ni wananchi au wabunge?
 
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
Ha ha ha. Patamu hapo. Hongera zake kwa kujitambua.
 
Itabidi ruzuku ipungu kwa % maana Mps wa upinzani wam-shuka sana kwa idadi
 
Imepokea wengi sana.Vipi huko chadema kuna malaya wamebaki?
Chadema inafagia malaya wote msiwe na wasiwasi watakuja tu, naona Polepole ameanza kuchagua jinsia ya KE kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom