BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,029
Ameolewa huyu?Mbunge wa babati mjini kupitia tiketi ya CHADEMA ndg. Pauline Gekul amejihuzuru nafasi yake ya Ubunge leo hii. View attachment 897179
Ameolewa huyu?Mbunge wa babati mjini kupitia tiketi ya CHADEMA ndg. Pauline Gekul amejihuzuru nafasi yake ya Ubunge leo hii. View attachment 897179
Okay,maana inafahamika kuwa kuna wanasiasa watahamaMod ndio wameweka hivo
Haswa hasa ukizingatia gender sensitive.Ha ha ha. Patamu hapo.
So kuna malaya wamebaki huko chadema ?Chadema inafagia malaya wote msiwe na watakuja tu, naona Polepole ameanza kuchagua jinsia ya KE kazi kweli kweli.
Wanaunga mkono serikali inayoshindwa kulinda raia wake!!Kama Mo na mapesa yake katekwa kwa kutounga juhudi iwe huyu mtoto wa mkulima
Nadhani single [emoji23][emoji23][emoji23]Ameolewa huyu?
Hawa walembo ndo tunawataka huku CCM waunge juhudi zetu.Karibu mheshimiwa ndani ya CHAMA LA WANA CCMMbunge wa babati mjini kupitia tiketi ya CHADEMA ndg. Pauline Gekul amejihuzuru nafasi yake ya Ubunge leo hii. View attachment 897179
Kwani wewe hujui mbunge ni muwakilishi wa wananchi...alichaguliwa kwa niaba ya wananchiKwani wanaohama ni wananchi au wabunge?
Aisee,Nadhani single [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa walembo ndo tunawataka huku CCM waunge juhudi zetu.Karibu mheshimiwa ndani ya CHAMA LA WANA CCM
Mkiendelea kuongea watahama na ofisiKwani wanaohama ni wananchi au wabunge?
Upuuzi ni kuwa uchaguzi utarudiwa kwa kodi yetu sisi raia wanyongeRuzuku ziliwe na Mbowe halafu uchaguzi uchangiwe na wabunge ...huo ndio upuuzi
Naona wahame wote wabakie wachache waaminifu lakini tume iwe huruChadema kuna tatizo kubwa waache visigizio eti kwa kila mbunge anayehama kanuniliwa.
mbona huongelei 500000 inayokatwa kila kukicha?
Ila wabunge wa CHADEMA wameonesha ubinafsi kupita maelezo. Hii yote ni kutetea ugali wao,uhakika wa kuendelea kupata pesa za ubunge,hamna lolote.
Eti hawa ndio walikuwa wanavaa magwanda na kujiita makamanda,Makamanda wameminywa kidogo tu wanahama vyama?
Ngoja tuone watabaki Makamanda wangapi.