johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hahahaa........ halafu wanambebesha mama wa watu mzigo wa kugharamia chaguzi ndogo peke yake!Zinaishia kumlipa Mbowe
Hahahaa........ halafu wanambebesha mama wa watu mzigo wa kugharamia chaguzi ndogo peke yake!Zinaishia kumlipa Mbowe
Esopo.alufulela ulela.....
Demokrasia gharama...kama vipi tufute ruzuku tujenge vituo vya afya.Bado inatoka kwenye kodi zetu acha uzwazwa
Umeshapanic!Chama cha watekaji!!
Chama cha watekaji hakina huruma na kodi za wananchi!ilianza kama mzaha sasa imekuwa ni kawaida kwa Madiwani na Wabunge wa Vyama vya Upinzani wanahamia CCM na wengine kutaka Cheo hichohicho cha Udiwani au Ubunge bila kuhurumia gharama au hasara tunazoingia kama Taifa, hivi ni Uzwalendo sio Uzalendo. Kuna haja ya hawa Madiwani au Wabunge wateule wawe wanapelekwa JKT hata kwa Miezi 2 kabla awajaapishwa kuwa Madiwani au Wabunge.
Mkuu hujapata kitengo bavicha??Anaetarajia kuona maendeleo ya maana awamu hii,nampa pole.
Hii ni awamu ya ku-deal na matajiri,vyama vya upinzani na wakosoaji wengine kwa gharama yoyote na si kuleta unafuu wa maisha ya watu.
Tena Asipotoa anatishiwaHahahaa........ halafu wanambebesha mama wa watu mzigo wa kugharamia chaguzi ndogo peke yake!
Mbunge huwa hajiuzulu na kura zake, kura ni mali ya chama, na ruzuku inahesabiwa kwa idadi ya kura siyo idadi ya wabunge.Itabidi ruzuku ipungu kwa % maana Mps wa upinzani wam-shuka sana kwa idadi
ChaCha Wangwe mlimfanyaje?Chama cha watekaji!!
Kwa lipi la ajaabu?Umeshapanic!
Wewe uko CCM kwa kutegemea cheo.Mkuu hujapata kitengo bavicha??
Vituo vya afya tunavijenga baada kukusanya rambirambi za majanga au umekwishasahau hilo?Demokrasia gharama...kama vipi tufute ruzuku tujenge vituo vya afya.
Kama hajanunuliwa kwanini anaenda kugombea tena. Kwani huwezi unga mkono juhudi kwa kuwa mwanachama wa kawaida wa ccm???Chadema kuna tatizo kubwa waache visigizio eti kwa kila mbunge anayehama kanuniliwa.
Polisi na mahakama si viko chini yenu nini sasa kinawashinda kushitaka mnaowatuhumu badala yake mmebaki kupiga majungu?ChaCha Wangwe mlimfanyaje?
Ngoja tuwanyooshe! kwi kwi kwi!!CCM fyekelea mbali Chadema mpaka mwenyekiti wao wa kudumu aachie ngazi. Mliniudhi sana kubadilisha gia angani wakati wa uchaguzi wa 2015. Mna laana ya Dr. Slaa.