Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Special kwa idara ya mapambio, baada ya sherehe za kumpokea malaya wa kisiasa kumbukeni bado tuna kiporo cha kumtafuta mfadhili mkuu wa chama MO.
 
Tunajenga vituo vya afya idadi kubwa zaidi tangu tupate uhuru.Rambi rambi inajenga wodi ya kumbukumbu.
Mnatafuna Ruzuku na mnawakata wabunge halafu makao makuu mnakodi nyumba ya baba mkwe!
Aisee kwa iyo unataka kusema pale hapakua na uhitaji wa wodi ila tumeijenga kupitia pesa za rambi rambi ili tu kuweka kumbukumbu?
Kwenye hela za ruzuku mimi ni mchoma mkaa tu wakawaida sihusiki nazo na hakuna sehemu niliyosema kuwa nashiriki kutafuna ruzuku twende polepole bwana mambo ya kulishana maneno sio ustarabu ebo!
 
Hiyo story ya kununua na kununuliwa ilishakosa kiki na wananchi wameshaishtukia tafuteni kisingizio kingine.
Aiseee!!!!!Mal....ya tangu lini akaridhika?

Nyie wanunueni tu ila hakuna chama cha siasa kilichowahi kukubalika kwa wananchi kisa kimenunua wanasiasa wa chama fulani.

Bora hata hizo hela mngetoa milioni 50 kwa kila kijijini angalau tungewaona mna akili.

Endeleeni kujaza maji kwenye gunia akili zikiwakaa sawa mtaacha huo ujinga.
 
Ni vyema wote wanaotaka kutoka wamalize tena japo kwa kila siku watoke 3 mpaka 5 ili hizi habari zikome tena zinachusha pesa ni kitu mbaya sana, wabakishe mbowe, Lissu, msigwa, mnyika na halima mdee waanze kujenga chama upya.
 
Hakuna sili duniani na kuna siku mmoja baada ya mwingine watajitokeza na kusema ukweli ni kipi kiliwafanya waunge juhudi za mheshimiwa John Raisi wetu Joseph Pombe Magufuli. Muda utaongea hawa wote wanaohama hawataweza kukaa kimya kuna siku wataongea ukweli kilichopo nyuma ya pazia.
 
Nanukuu Maneno Mazito Haya

"Ninachoweza Kubaini Ni Kwamba Viongozi Wa chama Taifa ambao nilikataa Kuwaabudia Katika Namna ya KUTWEZA UTU WANGU Wana urafiki na Mahasimu wangu "
 
Nadhani ni ile rambirambi ya tano tena imefanya yake, by the way this is not a news msitutoe kwenye reli #BringbackMoAlive#
 
Kwenye chaguzi ndipo anapopiga pesa yaani jamaa ni mjasiria mali hakuna mfano. Ruzuku ya milioni 300 Kwa mwezi zote anatia mfukoni harafu anawachangisha wabunge kila mwezi eti pesa za kuimarisha chama.
Yaani Chadema kuna majambazi!
 
Ningekuwa na uwezo ningewaambia wote wanaotaka kuhama wahame kwa pamoja ili tuachane na huu upuuzi
 
Hapa Kazi tu!
download.jpg
download-1.jpg
download-2.jpg
 
Kuanzia leo tusiwaamini hawa wabunge wa chadema. Anayesema leo hawezi kuondoka chadema unashangaa weekend ijayo anaondoka. Hii haina haja ya kufanya vikao vya ndani ndani ya chadema, kwa sababu unakaa na mtu wakati mwenzako anapanga. Kuondoka
 
Barua za hawa jamaa wanaoynga mkono juhudi zinafanana au kukaribiana idadi ya maneno na pages.
 
Kuanzia leo tusiwaamini hawa wabunge wa chadema. Anayesema leo hawezi kuondoka chadema unashangaa weekend ijayo anaondoka. Hii haina haja ya kufanya vikao vya ndani ndani ya chadema, kwa sababu unakaa na mtu wakati mwenzako anapanga. Kuondoka
Watabaki mbowe na mkewe tu walahi
Uwiii
Chadrama fyeeeekelea mbali walahi
 
Back
Top Bottom