Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Mmawia siku hizi kapooza.Mmawia
Mmawia siku hizi kapooza.Mmawia
Wewe ni mnafiki!Siungi mkono hizi harakati za kujivua ubunge ila CHADEMA nnarudia tena jitafakarini, lipo jambo haliko sawasawa kubalini kunifanyia tathmini hali ni mbaya na itakula kwenu ....Endeleeni kubeza
Kwani nani humu ana chama.Mi sina chama mkuu
Jana kafungua thread akipendekeza watu wapewe nafasi ya juu badala ya mchovu mboweMmawia siku hizi kapooza.
Hivi unaelewa kwamba ikibaki mwaka kabla ya uchaguzi mkuu endapo kuna kiti kitakua wazi hakutafanyika uchaguzi mdogo?Wewe ni mnafiki!
Tangu lini kukawa na deadline ya kupokea watu wanaohama kama hakuna hujuma?
Hii CCM ambayo mwenyekiti anatishia kupiga mpaka shangazi wa waziri mkuu ndio chama cha kukimbilia?
Niliye m-quoteKwani nani humu ana chama.
Chadema hakuna mpinzani wa kweli pale.......labda yule Zitto wa ACT wazalendo!Binafsi natamani wanaotaka kuondoka waondoke wote hata leo wabaki walio serious na upinzani.
Tena usiku wa manane chini ya Madame spikaTutaanza upya na kizazi kijacho,we care nothing but hate the fact that ccm imetuweka nafasi ya kumi toka mkiani kwa umaskini na gesi wamegawa kabla ya uchaguzi 2015.
Kama ccm ilitoa wagombea arobaini na tisa kugombea urais hatujasahau.Kuunga mkono juhudi kuambatane na kutambua haki.Kwa maisha haya ya watanzania kurudia uchaguzi ni biashara pekee kipindi hiki yenye kuzuia Kujengwa hata Barabara ya Ifakara.Tuanajua kabisa Demkrasia imezuia watu kupata haki zifuatazo2020 hilo jimbo linaenda ccm.
Kwani "Mpinzani wa kweli" ni wa aina gani??Chadema hakuna mpinzani wa kweli pale.......labda yule Zitto wa ACT wazalendo!
Mimi!Kwani nani humu ana chama.
Kama mzee Mapalala!Kwani "Mpinzani wa kweli" ni wa aina gani??