FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Kwani ccm hawakuwa na mgombea mpaka wampigie Lowassa????Sasa hizo kura 6m ni ccm walimpigia CCM mwenzao Lowassa!
Kwani ccm hawakuwa na mgombea mpaka wampigie Lowassa????Sasa hizo kura 6m ni ccm walimpigia CCM mwenzao Lowassa!
Hadi sasa CCM imepokea malaya wangapi wa kike na wa kiume,
Ha ha ha, crazy less care toward subconsious. Duh.Navuta cheki kila kukicha,vipi mwenzetu.
hapa nafikiria kwa haraka ni lipi jema kufanya kwa sasa ili niende zangu Canada.Naona tutakuwa vichaa zaidi chini ya jiwe
kila la heri mkuu , mwache aende zakeWacha awahi deadline!
Jamaa hawajielewi.Sasa hizo kura 6m ni ccm walimpigia CCM mwenzao Lowassa!
Kuna watu bado wanaamini tutapiga hatua kufikia nchi ya viwanda kwa drama za kipuuzi kama hizi?. Hii nchi ina laana kubwa.Kuna idara ya mapambio wenyewe wanaona sawa tu they care less hawajui ni matumizi mabaya ya kodi.
CCM inaponunua malaya inamdhalilisha nani au inajidhalilisha yenyewe.Malaya wa kisiasa ni wengi hongera kuingia kwenye kumbukumbu vizazi vijavyo vitawasoma na napendekeza kuwe na topic maalumu ya 'malaya wa kisiasa' katika somo la uraia.Nenda mama mtakutana na wenye ccm yao mbele ya safari.Malaya wengine wako kwenye foleni wahini dirisha dogo la isajili Harakaharaka ameshatangaza deadline.Go please go, tuanze a fresh hovyo kabisa,mnaidhalilisha nchi na wala sio chadema.
Mkuu kazi yetu ni kukomenti tu walioahidi viwanda ni wao.Kuna watu bado wanaamini tutapiga hatua kufikia nchi ya viwanda kwa drama za kipuuzi kama hizi?. Hii nchi ina laana kubwa.
Watamaliza 10 yrs tuSio habar ya kushangaza ila. Najua watalia sana 2020 hawatakua na nafasi wala dhamani ndani ya ccm by that time
Hahaha😄😄😄Ruzuku ziliwe na Mbowe halafu uchaguzi uchangiwe na wabunge ...huo ndio upuuzi
Nyie hamuwapambi wanao hamia kwenu?Kila anayehama lazima mumpambe!
Lengo kuu ni moja tu - kuonesha kwamba mkulu anapendwa sana - hence 'kuunga mkono juhudi'. Yuko obssessed na kupendwa at any cost! Na walipa kodi tutailipa hiyo gharama!CCM inaponunua malaya inamdhalilisha nani au inajidhalilisha yenyewe.
Kama si kutamanisha😁Yajayo yanafurahisha
hizo ndio zinaitwaTusubiri mtifuano ndani ya chama pendwa 2020.
He he he yamekua hayo tena, kweeli mmeshikwa pabaya ha ha haHuyo ni malaya wa kisiasa tu hana lolote.