Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Ni ujinga kulalamika na kupigania sheria zifatwe pale upinzani wanapoonewa lakini zisifatwe kwenye mambo mengine kisa zinafaidisha CCM. Chaguzi zinarudiwa kwasababu shEria inasema hivyo siyo kufurahisha watu Fulani. Mnapigania demokrasia wakati hata values za demokrasia hamzielewi wala kuziishi.
Nchi inahitaji chama kingine cha siasa kuikabili CCM na siyo CDM hii kazi imewashinda hamna uwezo wala uweledi.
Sema wewe siyo nchi, kwani CCM imeweza kitu gani hadi sasa.
 
Unaandika maneno ambayo hata we mwenyewe hujui yana maana gani!

Nimekuuliza swali na wewe unarudia kitu kilekile nilichouliza!!!!
Wewe ndio hujui , jibu ni chadomo aka domokaya aka domo kubwa lisilo na meno
 
Chadema endesheni chama kama taasisi, siyo NGO ya kiongozi mkuu na genge lake kupiga hela. Haiingii akilini wabunge wote hao kuondoka kila mmoja akitoa malalamiko ya aina hiyo hiyo
 
Ila nasubiria kuona na wabunge na madiwani wa viti maalumu nao wakifanya haya maigizo cjui wao ndo hawajaona cha kuunga mkono au ccm watakua hawawahitaji?
 
Chadema endesheni chama kama taasisi, siyo NGO ya kiongozi mkuu na genge lake kupiga hela. Haiingii akilini wabunge wote hao kuondoka kila mmoja akitoa malalamiko ya aina hiyo hiyo
Kwani chama kilianza na mbunge, hata waondoke wote tena ndio wanapunguza impurities kwenye chama.
 
JAMANI HUU UMALAYA UTAISHA LINI HAPA TZ,siuseme tu umepewa millioni 50 pekee,yaani hio ndio thamani yako,unasema ulitoa hela za uchanguzi,je nani alikulazimisha,wewe sema ni njaaa tu ulikuwa nae,lakini sidhani kaa 50m zitakuondlea umasikini wako dada
 
jamani hameni vyama mnavyotaka ila msihame nchi tu....maana kuhama vyama imekuwa fashion...
 
..Mh.Gekul alipata kusema haya kuhusu wana CCM.

..sasa sina uhakika kama ataweza kuiishi NIDHAMU ya wana CCM.

 
CHADEMA wanaweza kuwa wanafanya makosa makubwa kama watakuwa wanachukulia kuhama kwa wabunge watakuchukulia kama kupoteza wananchama wao jimboni.

In fact, mara wahamapo wabunge hawa juhudi jimboni zinatakiwa ziongezwe mara dufu hata kama hawatashiriki kwenye chaguzi ndogo zitakazofuata.

Kuimarisha chama ndani ya majimbo hayo yaliyoachwa ni muhimu sana. Hawa wabunge walipata ubunge kwa vile wananchi wa maeneo hayo waliikubali CHADEMA. Kuondoka kwa wabunge hao haimaanishi kutokubaliwa kwa CHADEMA.
 
Kwa yeyote anayebisha kuwa kuna tatizo huko chadema;

Anatakiwa kufikiri Mara mbili;
 
Back
Top Bottom