Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Wewe ni mnafiki!

Tangu lini kukawa na deadline ya kupokea watu wanaohama kama hakuna hujuma?

Hii CCM ambayo mwenyekiti anatishia kupiga mpaka shangazi wa waziri mkuu ndio chama cha kukimbilia?
Paulina Gekul yuko smart, nimempigia kampeni uchaguzi uliopita.. Viongozi wa Chadema walimtongoza akakataa....Shida ikaanzia hapo
 
Mkuu nifafanulie kidogo maana ya hilo neno 'kutweza'

Hilo ni neno apendalo kulitumia Polepole. Na maneno mengine apendayo kusema kufanya siasa safi na kushughulika na shida za watu. Maana ya neno kutweza ni kushusha utu wa mtu.
 
Ukiangalia kwa makini majimbo ambayo wabunge wake wanajiuzulu ni yale ambayo Mh. Raisi alipita kufanya ziara. Ref, ukerewe, serengeti, manyara etc. So unaweza kuona jinsi gani jamaa anahusika kwa namna moja au nyingine.
 
Paulina Gekul yuko smart, nimempigia kampeni uchaguzi uliopita.. Viongozi wa Chadema walimtongoza akakataa....Shida ikaanzia hapo
Nafikiri hapo neno kutweza ndo mahala pake, hakuna haja ya kufanya manyanyaso kisa mwanamke kakutolea nje. Inawezekana ameshaingia kwenye commitment na mtu mwingine au labda hujamu impress. Ni vizuri tujifunze kukubaliana na hali kuliko kuendekeza ubabe usio na maana, wanawake mbona wapo wengi tu.
 
Huyu mama leo ndio kaweka wazi mbivu na mbichi na mwenye masikio na asikie. Matatizo mengi likiwemo tatizo sugu la kutweza utu wa watu

..Kiswahili kigumu kidogo.

..una maana gani unaposema " kutweza utu wa watu. "

..kwa mfano Mama Gekul kuna jambo gani ambalo amefanyiwa?

..nilivyomsoma kwa haraka analalamika amesusiwa chama na viongozi wenzake wa makao makuu.
 
Nafikiri hapo neno kutweza ndo mahala pake, hakuna haja ya kufanya manyanyaso kisa mwanamke kakutolea nje. Inawezekana ameshaingia kwenye commitment na mtu mwingine au labda hujamu impress. Ni vizuri tujifunze kukubaliana na hali kuliko kuendekeza ubabe usio na maana, wanawake mbona wapo wengi tu.
Ukizingatia toto la kimbulu mashallah liko safi..Chadema kuna uhuni mwingi mno wanawake wananyanyasika... Anaeiweza Chadema ni Halima Mdee msela yule wanamuogopa hakuna wa kumzingua
 
..Kiswahili kigumu kidogo.

..una maana gani unaposema " kutweza utu wa watu. "

..kwa mfano Mama Gekul kuna jambo gani ambalo amefanyiwa?

..nilivyomsoma kwa haraka analalamika amesusiwa chama na viongozi wenzake wa makao makuu.
kutweza utu ni kudhalilishwa kijinsia..hapo ndipo alichodhamiria kusema....
 
Ukizingatia toto la kimbulu mashallah liko safi..Chadema kuna uhuni mwingi mno wanawake wananyanyasika... Anaeiweza Chadema ni Halima Mdee msela yule wanamuogopa hakuna wa kumzingua
Fikiria huyo ni mbunge wa jimbo, vipi hawa wa viti maalumu uwezekano ni mkubwa lazima wakubali kuwa vitafunio vya wazee
 
Upuuzi wa namna hii, ipo siku utakoma. Watu hawana huruma na taifa hili.

Nchi ikitawaliwa na vichaa huambukiza ukichaa hata walio timamu.
Ukiona watu wanashangilia jua ni mazuzu.
Ni ujinga ulopitiliza na uhayawani kufanya haya maigizo ya kisiasa, wakitaka wahame vyama na kurudi kulima ndo tujue kweli wana uchungu, kwa kuomba kurud ccm ni uwendawazimu na utaahira wa kisiasa syo watu wa kuwachekekea bali bora watekwe kama MO na kufyekelewa mbali.
 
Mbona raia hawarudishi kadi au kundi la watu kutangaza kumuunga mkono mzee meko? Chenga za mwili ccm wanajipiga
Chadema kuna tatizo kubwa waache visigizio eti kwa kila mbunge anayehama kanuniliwa.
 
Fikiria huyo ni mbunge wa jimbo, vipi hawa wa viti maalumu uwezekano ni mkubwa lazima wakubali kuwa vitafunio vya wazee
Viti maalum ndio balaa viongozi wote wana vimada wao huko,....we chunguza viti maalum wa Chadema ni vibinti vizuri vizuri vya kuuza sura
 
Hi move ya sisiem inaua wana siasa vijana. Ila afadhali kuhama kuliko kutekwa
 
Back
Top Bottom