ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Mkuki kwa nguruwe, ufahamu wao hawa chadrama ni NIL walahiLowasa alihamia chadema kwa ahadi ya kupewa uraisi vipi hilo ni Rushwa au unalisemeaje ni umalaya au ni nini?
Mkuki kwa nguruwe, ufahamu wao hawa chadrama ni NIL walahiLowasa alihamia chadema kwa ahadi ya kupewa uraisi vipi hilo ni Rushwa au unalisemeaje ni umalaya au ni nini?
Huo si ushuru ni kodi ushuru unalipa mara moja tu basi Chadema wamegeuka TRA kukata kodi mapato ya wabunge wa Chadema .Hayo makato hayako Kisheria Na wala hayako kwenye katiba ya Chadema kuwa Kila mbunge atakatwa laki tano Kila mwezi. Wabunge Chadema kataeni.Utawala wa Sheria uzingatiwe.Hayo makato hayako KisheriaKama wameshindwa kufanya juhudi wakiwa na mbunge, wataweza kipindi ambacho hawana mbunge? Nazani hujamuelewa huyo mama. Viongozi CHADEMA hawafanyi kazi na wabunge, pia luzuku hizifiki majimboni kibaya zaidi wabunge wanakatwa nachama sh 500,000 kila mwisho wa mwezi ambazo hazijulikani zinaenda wapi na zinafanya kazi gani. Kifupi wanalipia ushuru kwakuwa wabunge kupitia CHADEMA!
SijitoiTeh teh teh.....jitoe JF kama upendezwi na habari mwanana za humu.
Huyu nilisikia kutoka reliable source kuwa aliomba muda mrefu sana kujiunga na CCM, ila kwa sababu ni liability (mzigo) nao walisuasua kumkubalia, sijui ss amesakua asset hadi kukubaliwa huku kwetu!?Niliwahi kusema hapa ,Bavicha hawa ndio wanafuata ,tayari wameomba kujiunga CCM
Ni kina nani hasa hawa K'njaro 2, Dar 2, Mara 1 na Manyara 1? Internet imefumbua fumbo na sababu zao za kuhama - JamiiForums
Kwajinsi mlivokuwa na shingo ngumu hata akienda na Lissu itakuwa sio habari. 🙅🙅🙅🙅Waende wote siyo Habari. Akienda Lissu ndio itakuwa Habari.
mbona hii barua ndio inayotumika kwa kila m'bunge anaejitoa ufahamu?Niliwahi kusema hapa ,Bavicha hawa ndio wanafuata ,tayari wameomba kujiunga CCM
Ni kina nani hasa hawa K'njaro 2, Dar 2, Mara 1 na Manyara 1? Internet imefumbua fumbo na sababu zao za kuhama - JamiiForums
Mwenyekiti wa Chama kagauka kuwa mtoza kodi kwa wabunge. Wabunge wanatakiwa kukatwa kodi ya Tshs 500,000 kwa mwezi!! Hakuna ukaguzi wa hizo pesa.Nanukuu“Ni ukweli usiopingika kwamba mzigo wa kuendesha chama umeachwa mabegani mwa wabunge, chaguzi ndogo zilizopita hakuna msaada wowote kutoka chama makao makuu, fikiria kutoka mwaka 2015 mchango wa kuendesha chama kutoka makao makuu haujazidi shilingi za kitanzania laki tano(500,000). Chaguzi zote nigharamie mimi, ilihali chama kinapata ruzuku ya Zaidi ya milioni 300 kila mwezi na bado wanatukata zaidi ya 500,000 kila mwisho wa mwezi, hii sio haki” Mwisho wa kunukuu.
Mwenyekiti inabidi ajitafakari siyo kuja na visingizio vya kwamba eti wananunuliwa. Hata ningekuwa mimi kwa upuuzi huu ningehama chama haiwezakani ruzuku yote milioni 300 kila mwezi utafune halafu unikate tena laki tano kila mwezi hakika huu ni ulafi uliopitiliza.
hii barua ni maarufu sana kwa kuhamisha kununulia wabunge wa cdm.Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
hunatofauti na lugoro. kamtafuteni mo apatikane akiwa haiChongeni tena tuchukue mwingine
Lisu mwenyewe yuko mbioni kuhamia CCMWaende wote siyo Habari. Akienda Lissu ndio itakuwa Habari.