Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

..Kiswahili kigumu kidogo.

..una maana gani unaposema " kutweza utu wa watu. "

..kwa mfano Mama Gekul kuna jambo gani ambalo amefanyiwa?

..nilivyomsoma kwa haraka analalamika amesusiwa chama na viongozi wenzake wa makao makuu.
Hujaona anasema kuna juhudi za kutweza utu wake? Kwa kizungu kutweza utu ni ku desgrade personallity. Amekimbia juhudi ambazo wamekuwa wakizifanya kutweza utu wake. Hizo juhudi za kutweza anazifahamu yeye na viongozi wenye juhudi za kutweza utu wake.
 
Ukizingatia toto la kimbulu mashallah liko safi..Chadema kuna uhuni mwingi mno wanawake wananyanyasika... Anaeiweza Chadema ni Halima Mdee msela yule wanamuogopa hakuna wa kumzingua
Yeye anawatweza wenzake!!
 
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Mbona barua inafanana na zile nyingine! Naona wanabadili majina, tarehe na sahihi, lakini uandishi ni uleule.
 
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Kuna fundisho moja kubwa katika haya yanayotokea.Maumivu wanayopata watu ambao walimpigania mbunge huyu ni makubwa sana na ni kwa kuwa tu hatuwezi kuwaendea mmoja mmoja.Manung'uniko yao pia ni makubwa lakini hawana pa kumwagia hisia na hasira zao na kama kawaida wamemwachia ALIYE JUU.Pauline atateuliwa na CCM na ataingia tena bungeni huku akiwa pamoja na Kina Waitara,Mollel na wengine na pia huku wakiwacheka wajinga wa CHADEMA waliopwapigania kuingia bungeni kabla ya kujitoa.Naamini na naamini hawatakuwa na furaha kutoka ndani ya mioyo yao bali fabricated smiles.
Kwa wapenzi na washabiki wa siasa wengi watavunjika moyo na hawataweza tena kujitoa kama mwanzo na hii inaamisha ya kuwa kwa kutumia njia HARAMU iliyohalalishwa na tunarejea katika mfumo wa Chama Kimoja na tujiandae kwa hilo.
 
Mbona barua inafanana na zile nyingine! Naona wanabadili majina, tarehe na sahihi, lakini uandishi ni uleule.
Mkuu huyu mama kaandika barua mwanana na imeshiba. Amedadavua mengi mno na kuwavua nguo viongozi wa CHADEMA kuanzia kulamba ruzuku, kugeuka TRA na kuwatoza PAYE wabunge na pesa kuliwa na mwisho juhudi za kuwatweza wakinamama!!!
 
Za kunyapia nyapia ni kuwa Soon Joshua Nasari, Mnyika na Kubenea watatimkia CCM...wapo kwenye hatua za mwisho kabisa
 
Mimi naishia kusoma comments, natamn ningepewa nafasi ya kutoa roho 2 tu ningeztendea kazi ipasavyo nna hasira balaa. Mimi mtumishi tumeajiriwa pesa za kujikimu tumepewa nusu after 1 month na nyngne ndo kwa heri na still kuna mijinga inaunga hoja upumbavu unaoendelea
Uko halmashauri gani?
 
Viti maalum ndio balaa viongozi wote wana vimada wao huko,....we chunguza viti maalum wa Chadema ni vibinti vizuri vizuri vya kuuza sura
Aisee! inabidi itungwe sera inayoeleweka viti maalum wawe ni watu wanaowakilisha makundi maalumu ya kijamii. Vinginevyo hakuna haja ya hivi viti maalumu kuwepo
 
Historia itamkumbuka kama mbunge mwanamke wa kwanza kushiriki kwenye upuuzi huu, angeeleweka kama angetimkia ACT , CHAUMA, CUF au chama kingine cha upinzani, kitendo cha wote wanaojiuzulu kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kinatoa picha kwamba wanasukumwa na ubinafsi na hawana uzalendo wala utu
 
walipokaa kimya kipindi walimu wa sanaa wanapigwa pin,

Niligundua hawana tofauti na maadui zao ccm

-hakuna mwanasiasa ambaye yupo kwa maslahi ya mwananchi.
 
Nachukia mno CHAGADEMA ila mbowe kaa na genge lako la mamluki wanasiasa Malaya ulio nao huko ujaribu kuzuia mafuriko haya japo kwa mkono
 
Nawaza sana kichwani mwangu wabunge wa CCM wangekuwa wanahama kwa pupa hivi hali ingekuwaje kwenu vijana wa ufipa...... Siasa imekuwa simba na yanga
 
Kuna watu bado wanaamini tutapiga hatua kufikia nchi ya viwanda kwa drama za kipuuzi kama hizi?. Hii nchi ina laana kubwa.
Mwenye laana ni wewe na ukoo wako milele walahi
MAMA TANZANIA ANA KULAANI KWA LAANA ZA MAKABILA YOTE ZIHAMIE KWENYE UKOO WAKO NA KIZAZI CHAKO MILELE YOTE WALAHI NAKUAPIA
 
CHADEMA wanaweza kuwa wanafanya makosa makubwa kama watakuwa wanachukulia kuhama kwa wabunge watakuchukulia kama kupoteza wananchama wao jimboni.

In fact, mara wahamapo wabunge hawa juhudi jimboni zinatakiwa ziongezwe mara dufu hata kama hawatashiriki kwenye chaguzi ndogo zitakazofuata.

Kuimarisha chama ndani ya majimbo hayo yaliyoachwa ni muhimu sana. Hawa wabunge walipata ubunge kwa vile wananchi wa maeneo hayo waliikubali CHADEMA. Kuondoka kwa wabunge hao haimaanishi kutokubaliwa kwa CHADEMA.
Kama wameshindwa kufanya juhudi wakiwa na mbunge, wataweza kipindi ambacho hawana mbunge? Nazani hujamuelewa huyo mama. Viongozi CHADEMA hawafanyi kazi na wabunge, pia luzuku hizifiki majimboni kibaya zaidi wabunge wanakatwa nachama sh 500,000 kila mwisho wa mwezi ambazo hazijulikani zinaenda wapi na zinafanya kazi gani. Kifupi wanalipia ushuru kwakuwa wabunge kupitia CHADEMA!
 
Bahati mbaya sana CHADEMA aliyoianzisha Mzee Mtei sio hii inayoongozwa na macho manne.

Mzee Mtei kiuwezo wa akili yupo juu sana kulinganisha na huyu jamaa wa sasa, tofauti ni kubwa mno kimaono na kibusara.

Bahati mbaya nyingine, kuna lundo kubwa la watu ambao ni kama vile akili zao zimewekwa kwenye chumba fulani na haijulikani ni lini watarudishiwa.
 
Nachukia mno CHAGADEMA ila mbowe kaa na genge lako la mamluki wanasiasa Malaya ulio nao huko ujaribu kuzuia mafuriko haya japo kwa mkono
Mimi ni mchaga na siwezi kuwa chadrama milele walahi, chama cha matapeli HELL NO WALAHI
 
Huyu mama ni waajabu aliwahi kuulizwa kuhusu yeye kuhama kwenye mkutano wake ndani ya viwanja vya kwaraa babati mjin ila ajabu alikana na kusema yeye hanunuliki ila ajabu yametokea
Huu ni uwendawazimu
 
Back
Top Bottom