Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kuna vitu sisi media tunavijua public haijui!, Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani? . Jee wajua baada ya Chadema kuwatimua, jee wajua ring leaders wa wabunge hao, waliitwa Nairobi na kigogo wa Chedema, namjua kigogo huyo, hoteli waliofikiwa kwa kugharimiwa, na walichoitiwa, hadi number ya chumba, ila kwa vile mimi sio mbea!, sitaji!!. Kama unadhani walijiteua, wakajipeleka, endelea kuamini hivyo.Pascal you are matured enough kuwa mkweli Ndugu yangu. Wale Wabunge "19" unamfahamu fika walivyopatikana kupitia Ndugai chini ya Uongozi wa Late Jiwe. Acha kuchafua CDM bila sababu.
Chadema ni Chama cha Siasa kinachoongozwa na Binadamu na sio Malaika. Kuna mapungufu yanayoweza kujitokeza na hakuna atakaekupinga kwa hilo. Lkn kwa hili la COVID 19 BIG NO.
P