Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Lakini pia kuna post yako hapo juu ilioponda sana chadema na Mbowe baada ya hiyu Gekul kuhama na kutoa tuhuma kwa chama
Mimi ni msumeno nakata kote kote, viongozi wa Chadema wanachowafanya wabunge wao wa viti maalum, is not right!, na wabunge wanawake wa Chadema, jinsi wanavyo jirahisi is not right!.
P
 
Huyu mbunge na mwenzake siku wanaondoka Chadema waliitisha press conference na kudai sababu ya kuhama Chadema ni walitongoz.. na Mbowe na kulazimishwa kufanya s.x bila ridhaa zao!.
Nijuavyo every beautiful lady is open to be approached regardless their marital status, hivyo mwanamke yoyote anayetangaza kuhama chama simply because ametongozw. huyu ni Mwanamke mjinga!.
Halafu Mwanamke mwenyewe wa Babati!, from yale makabila ambayo wanawake wake they can't say no!. Kama ni kweli boss alimtokea!, then... so why kujifanya malaika?.
Hii ni karma tuu!.
P
Mwenye ako na hiyo clip ya press conference, atupie jamvini,

Kutongozwa na kuliwa tunda kimasihara unahama chama? Kwani walibakwa? Mbona hawakuripoti Polisi Mwamba apigwe mvua 30,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Huyu mbunge na mwenzake siku wanaondoka Chadema waliitisha press conference na kudai sababu ya kuhama Chadema ni walitongoz.. na Mbowe na kulazimishwa kufanya s.x bila ridhaa zao!.
Nijuavyo every beautiful lady is open to be approached regardless their marital status, hivyo mwanamke yoyote anayetangaza kuhama chama simply because ametongozw. huyu ni Mwanamke mjinga!.
Halafu Mwanamke mwenyewe wa Babati!, from yale makabila ambayo wanawake wake they can't say no!. Kama ni kweli boss alimtokea!, then... so why kujifanya malaika?.
Hii ni karma tuu!.
P
KARMA...
 
Yaani awali alifurahia sana Gekul kuhamia ccm na kuwakashfu chadema.

Lskini leo anamponda Gekul kuwa aliyosema kumtuhumu Mbowe kuwa alimtongoza haikuwa sahihi kwani mrembo yeyote tena toka Babati hiwa hakatai kuliwa.

Sasa tumwelewe je?
Ndimi mbili hizi zinaitwa
Anataka kuhamisha goli kwa kuhusisha ushenzi wa Gekul na CDM
 
Kwani Gekul mwenyewe anasemaje, nasikia amekiri kosa
Mimi ni msumeno nakata kote kote, viongozi wa Chadema wanachowafanya wabunge wao wa viti maalum, is not right!, na wabunge wanawake wa Chadema, jinsi wanavyo jirahisi is not right!.
P
 
Mara zote kila jambo hujitenga na kukaa panapostahili.Huyo ni wenu.Rejea Makonda,Sabaya and the likes!
Kuna tetesi kwamba, kundi fulani ndani ya CCM limemtaka M/K wao Taifa kumtosa/kujitenga na Bashite au wao watimkie kusikojulikana.
 
Back
Top Bottom