Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Na wewe uliamini ngonjera zake wakati wa Biashara ya kiasiasa? Mwanamke aliyemnyanyasa mumewe sababu ya madaraka anawezaje kuwa mpinga manyanyaso? Gekul ni mnyanyasaji hata kabla ya hili la Sasa, uliza mumewe Yuko wapi na kilimtokea nini baada ya Gekul kuuaga umasikini?
Yule mwanaume alikimbia kama Hussein bolt
Mama chupa alitaka kumuingizia chupa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Soon Mbowe atafanya ziara Babati kwenda kuomba uchi wa huyu dada ili amrudishe kundini.
Acha upumbavu. Kuwa na adamu sio kila neno kwa kila Mtu. Mh Mbowe aweza kuwa na umri sawa na babako.
 
Pascal kaka yangu shida hapa si kuhama vyama,Mara nyingi wanahama kwa ajili ya matumbo yao tu.Mara nyingi vyeo vinaitaji watu wenye hekima Sana,nikupe mfano mdogo tu pia maofsi ya umma utaona wengi walivyopofushwa na vyeo.Tunaitaji mfumo Bora wa kusaidia Hawa watumishi wa umma wajue wapo hapo kwa ajili yetu wananchi ili tusonge mbele.Nampongeza mama kwa kuchukua hatua haraka ili liwe funzo kwa wengine.
Shina likishaharibika, matawi hayataweza kuurekebisha.
 
Mimi ni msumeno nakata kote kote, viongozi wa Chadema wanachowafanya wabunge wao wa viti maalum, is not right!, na wabunge wanawake wa Chadema, jinsi wanavyo jirahisi is not right!.
P
Pascal you are matured enough kuwa mkweli Ndugu yangu. Wale Wabunge "19" unamfahamu fika walivyopatikana kupitia Ndugai chini ya Uongozi wa Late Jiwe. Acha kuchafua CDM bila sababu.

Chadema ni Chama cha Siasa kinachoongozwa na Binadamu na sio Malaika. Kuna mapungufu yanayoweza kujitokeza na hakuna atakaekupinga kwa hilo. Lkn kwa hili la COVID 19 BIG NO.
 
Mwenye ako na hiyo clip ya press conference, atupie jamvini,

Kutongozwa na kuliwa tunda kimasihara unahama chama? Kwani walibakwa? Mbona hawakuripoti Polisi Mwamba apigwe mvua 30,



Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mwamba apigwe mvua zake za kutosha sio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kama walikuwa na case genuine kwanini walihangaika na ile ya mchongo ya ugaidi??
 
Huyu mbunge na mwenzake siku wanaondoka Chadema waliitisha press conference na kudai sababu ya kuhama Chadema ni walitongoz.. na Mbowe na kulazimishwa kufanya s.x bila ridhaa zao!.
Nijuavyo every beautiful lady is open to be approached regardless their marital status, hivyo mwanamke yoyote anayetangaza kuhama chama simply because ametongozw. huyu ni Mwanamke mjinga!.
Halafu Mwanamke mwenyewe wa Babati!, from yale makabila ambayo wanawake wake they can't say no!. Kama ni kweli boss alimtokea!, then... so why kujifanya malaika?.
Hii ni karma tuu!.
P
mkuu kule kaskazini kuna neno maarufu sana ''KUCHAFUKWA''

MKUU NAONA UMECHAFUKWA.
 
Back
Top Bottom