Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Hakuna cha ajabu, kama aliomba mkopo wa 50m mkampatia 70m hapo unashangaa kitu gani?
Hakuna cha ajabu, kama aliomba mkopo wa 50m mkampatia 70m hapo unashangaa kitu gani?
Sio habar ya kushangaza ila. Najua watalia sana 2020 hawatakua na nafasi wala dhamani ndani ya ccm by that time
LimetimiaSio habar ya kushangaza ila. Najua watalia sana 2020 hawatakua na nafasi wala dhamani ndani ya ccm by that time
Kwakuwa waliondoka kwetu wakiwa Wabunge basi warudi kwetu vivyo hivyo wakiwa ni Wabunge.Nasikia yeye na mtulia wanaomba msamaha wa kurudi rivasi walipotoka
Ni kweli2020 hilo jimbo linaenda ccm.
Ni wabunge wa wastaafuKwakuwa waliondoka kwetu wakiwa Wabunge basi warudi kwetu vivyo hivyo wakiwa ni Wabunge.
Wewe Mtu Ni MNAFIKI hatari,una Roho mbaya,yooote haya kumbe Ni kutaka kupitishwa ugombee ubunge,kila siku unadanganya humu kuwa huna chama.Nimezisoma sababu zake, ana hoja za msingi, asibezwe na hoja zake zisipuuzwe, kuna vitu vikubwa, vibaya, vichafu amevieleza hapa kwa just mention, bila kuvitaja, lakini kama vitu hivi ni kweli, then, wabunge wanawake wa Chadema, ni mashujaa sana, ni wavumilivu sana na wastahimilivu sana kwa vitu wanavyofanyiwa na viongozi wao, huyu ameshindwa kuvumilia, uvumilivu umemshinda, japo amewastahi lakini amesema katika mabano na hapa ninamnukuu "iliniuma sana pale nilipokataa kuwaabudia viongozi wa chama kitaifa kwa namna itakayo tweza utu wangu" Jee unakujua huko kuabudiwa kunakotweza utu wa mwanamke?.
pia kama mtu mwenyewe ni huyu
View attachment 897540
Na eneo analotoka ni Babati, then kiukweli kabisa, huyu ni shujaa, kwa sababu vitu vingine, na mambo mengine, sisi wengine wenu wenye udhaifu nayo, hata ningekuwa mimi...
Kama tuhuma hii ni kweli, hii inamaana wabunge wengine wanawake wa Chadema, wanavumilia sana.
Hivyo naendelea kusisitiza
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike - JamiiForums
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P.
We jamaa una akili na maono sanaWalishindwa kujua ukomo wa biashara wanayofanya
Mkuu kwa kifupi watu Hawa Sasa hivi hawaamini CCM,hawaamini CDM na hawaamini na wananchi.Hata waje uchi hakuna atakaye tupia jicho hata la kuchungulia
Safi sio kwetu Kwa kutafutia Ubunge , wautafute waje nao kama Ka Paulina kutoka kwenye viofisi vya mikopo vya mitaani Hadi mjengoni Leo ananyea kambi?Kwakuwa waliondoka kwetu wakiwa Wabunge basi warudi kwetu vivyo hivyo wakiwa ni Wabunge.
Ya kitu ganiHongera Sana
Kukataa kuburuzwaYa kitu gani
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Mbunge mpinga unyanyasaji, alihama Chadema kupinga unyanyasaji, akajiunga CCM, sasa ndio amegeuka mnyanyasaji!.Nimezisoma sababu zake, ana hoja za msingi, asibezwe na hoja zake zisipuuzwe, kuna vitu vikubwa, vibaya, vichafu amevieleza hapa kwa just mention, bila kuvitaja, lakini kama vitu hivi ni kweli, then, wabunge wanawake wa Chadema, ni mashujaa sana, ni wavumilivu sana na wastahimilivu sana kwa vitu wanavyofanyiwa na viongozi wao, huyu ameshindwa kuvumilia, uvumilivu umemshinda, japo amewastahi lakini amesema katika mabano na hapa ninamnukuu "iliniuma sana pale nilipokataa kuwaabudia viongozi wa chama kitaifa kwa namna itakayo tweza utu wangu" Jee unakujua huko kuabudiwa kunakotweza utu wa mwanamke?.
pia kama mtu mwenyewe ni huyu
View attachment 897540
Na eneo analotoka ni Babati, then kiukweli kabisa, huyu ni shujaa, kwa sababu vitu vingine, na mambo mengine, sisi wengine wenu wenye udhaifu nayo, hata ningekuwa mimi...
P
Imedhihirika unyanyasaji upo damuni mwake.Anapiga domo tu ila uhalisia wake umedhihirika.Mbunge mpinga unyanyasaji, alihama Chadema kupinga unyanyasaji, akajiunga CCM, sasa ndio amegeuka mnyanyasaji!.
P
...is...Karmaa...🥰
Wewe jamaa una ndimi mbili....hii sio sifa nzuri kwa msomi.pia kama mtu mwenyewe ni huyu
View attachment 897540
Na eneo analotoka ni Babati, then kiukweli kabisa, huyu ni shujaa, kwa sababu vitu vingine, na mambo mengine, sisi wengine wenu wenye udhaifu nayo, hata ningekuwa mimi...
Kama tuhuma hii ni kweli, hii inamaana wabunge wengine wanawake wa Chadema, wanavumilia sana.