Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Katika watu niliwasikitikia ni huyu! Kweli binadamu hafadhiliki
Kutoka kutia Nia Hadi kutia huruma.
Usaliti mbaya Sana yaani watu wamekufa,ulemavu,wamejinyima, familia zao zinateseka kwa ajili yenu then mnawasaliti.Mfano pasipo mtulia aqulini asingekufa,cdm wasingekuwa na kesi na kuchomolewa pesa ili kununua Uhuru wao,then uyakumbuki hayo.
Wengine hata kuvaa suti, kuendesha gari kupiga pafyumu wamefundishwa upinzani,Leo wakasahau yote na kuanza kutoa kashfa na maneno machafu.Bado madiwani watia Nia nao kuchezea,walioenda nccr kwa nyodo kuchezea spana nao.
 
Attachments

  • Screenshot_20200722_122951.jpg
    Screenshot_20200722_122951.jpg
    80.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20200722_123916.jpg
    Screenshot_20200722_123916.jpg
    66.7 KB · Views: 18
  • Screenshot_20200724_122128.jpg
    Screenshot_20200724_122128.jpg
    114.7 KB · Views: 17
Hapo kwenye hiyo picha umemsahau Silinde
Kutoka kutia Nia Hadi kutia huruma.
Usaliti mbaya Sana yaani watu wamekufa,ulemavu,wamejinyima, familia zao zinateseka kwa ajili yenu then mnawasaliti.Mfano pasipo mtulia aqulini asingekufa,cdm wasingekuwa na kesi na kuchomolewa pesa ili kununua Uhuru wao,then uyakumbuki hayo.
Wengine hata kuvaa suti, kuendesha gari kupiga pafyumu wamefundishwa upinzani,Leo wakasahau yote na kuanza kutoa kashfa na maneno machafu.Bado madiwani watia Nia nao kuchezea,walioenda nccr kwa nyodo kuchezea spana nao.
 
Kutoka kutia Nia Hadi kutia huruma.
Usaliti mbaya Sana yaani watu wamekufa,ulemavu,wamejinyima, familia zao zinateseka kwa ajili yenu then mnawasaliti.Mfano pasipo mtulia aqulini asingekufa,cdm wasingekuwa na kesi na kuchomolewa pesa ili kununua Uhuru wao,then uyakumbuki hayo.
Wengine hata kuvaa suti, kuendesha gari kupiga pafyumu wamefundishwa upinzani,Leo wakasahau yote na kuanza kutoa kashfa na maneno machafu.Bado madiwani watia Nia nao kuchezea,walioenda nccr kwa nyodo kuchezea spana nao.
Duh! Mtu kama Nassary Arumeru ilikua yake kabisa kachezea shilingi chooni.
 
Na lile domo lake Sasa!! Tuone huko CCM bila cheo atakua karai au nini
Yule Elia Michael kapoteza na uafisa mtendaji aliopewa,Elia Michael, Lijuakali, Nassari,Silinde walishakuwa na mtaji Mkubwa kwa Jamii njia nyeupe ya kurudi bungeni,wakahadaika na propaganda za eti upinzani utakufa hakuna atakaerudi bungeni.Hakuna kipindi ambacho wapinzani wataingia kwa wingi sana bungeni Kama kipindi hichi.
 
Aisee kumbe Elia Michael kapoteza na ajira yake [emoji21][emoji21] Pengine wanaweza kumfikiria kwenye teuzi. Ila katika mtego mbaya kwa waunga mkono juhudi huu umewakamata.
 
Wanaowazia teuzi waanze tafuta kazi zingine au waanze tembeza bahasha.Tupo hapa.Lengo lilikuwa ni kuuwa upinzani kwa njia hii ya manunuzi Sasa imefeli haina tija kwao tena.
Tupo hapa Kama kuna mhamiaji atateuliwa.
 
Yule Elia Michael kapoteza na uafisa mtendaji aliopewa,Elia Michael, Lijuakali, Nassari,Silinde walishakuwa na mtaji Mkubwa kwa Jamii njia nyeupe ya kurudi bungeni,wakahadaika na propaganda za eti upinzani utakufa hakuna atakaerudi bungeni.Hakuna kipindi ambacho wapinzani wataingia kwa wingi sana bungeni Kama kipindi hichi.
Tamaa mbele mauti nyuma.
 
WAJUMBE WAJUMBE... nasikia mmeshafanya yenu...... ha ha ha ha
Dada wa watu katoka na ngapi vile?
 
Kichwani inakuja picha ya Ndugai akiwahamsisha watukane chama chao cha zamani na wabunge wa CCM wakiwapigia makofi ya kufa mtu-mwisho ya yote wameingia kwenye shimo lenye kiza kinene na bahati mbaya au nzuri karibu wote ni vijana. Hili litakuwa somo kwa vijana huko tuendako, e Mola wasamehe uwarudishe kwenye msitari. Ni wazi CCM iliwavuta siyo kwa kuwapenda bali ili kuua upinzani baada ya kuwazawadia kwa muda mfupi hawakuliona rungu lililokuwa linawashukia.
 
Back
Top Bottom