Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Aliyekuwa mbunge wa Babati mjini kupitia Chadema kisha kujihuzuru siku za hivi karibuni Pauline Gekul amewatolea uvivu viongozi na wapenzi wa Chadema kwa ujumla kuwa badala ya kuhangaika na kukosoa uandishi wa barua ya kujihuzuru ,wahangaike na kujibu hoja zake ndani ya barua hiyo.

Ikumbukwe kuwa ndani ya barua ya kujihuzuru Pauline Gekul alikikosoa Chadema kwa kuendekeza udikteta ,kutoonekana matumizi ya ruzuku ya chama ambayo ni zaidi ya million 300 kwa mwezi na pia uongozi wa juu wa Chadema kutaka kutweza utu wa Pauline Gekul kama mwanamke.!

Source ; Mpekuzi blog
 
IMG-20181015-WA0018.jpg
 
Aisee, kumbe kuna pesa mingi ya ruzuku hivi...hizo ruzuku zina kazi gani?
 
Heri ya mbwa ni mwaminifu kwa mwenye mbwa kuliko mchawi asiependa maendeleo.

Kachukue posho yako Lumumba tusi lako linatosha kabisa kwa leo kuzipata hizo tenga saba.
Kwani M,kiti anakupiga boriti kwenye tigo? Usiweweseke nyang'au wewe
 
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
sasa mkuu ulikuwa na kura 7000 wakati ayekufuatia alipata kura 10,000 ulikuwaje mshindi mkuu????????
 
Back
Top Bottom