Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Wewe ni mnafiki!

Tangu lini kukawa na deadline ya kupokea watu wanaohama kama hakuna hujuma?

Hii CCM ambayo mwenyekiti anatishia kupiga mpaka shangazi wa waziri mkuu ndio chama cha kukimbilia?
Sawa kwa comment yako umekisaidia chama chako
 
Nimesoma kwa makini sababu za mwanadada huyu, naona kama kumbe pia kuna dalili za 'sexual harassment'. Anarudia mara mbili au zaidi juu ya juhudi za kutaka kutweza utu wake. Ndo maana natia shaka sana juu ya CHADEMA. Ubora wa tabia ya viongozi wake. Makuzi yao hayaruhusu wawe vinginevyo. Aibu ni kuona hata ma-profesa wawili, Baregu na Safari hawawezi kulitokomeza tatizo hilo!
 
CHADEMA wanaweza kuwa wanafanya makosa makubwa kama watakuwa wanachukulia kuhama kwa wabunge watakuchukulia kama kupoteza wananchama wao jimboni.

In fact, mara wahamapo wabunge hawa juhudi jimboni zinatakiwa ziongezwe mara dufu hata kama hawatashiriki kwenye chaguzi ndogo zitakazofuata.

Kuimarisha chama ndani ya majimbo hayo yaliyoachwa ni muhimu sana. Hawa wabunge walipata ubunge kwa vile wananchi wa maeneo hayo waliikubali CHADEMA. Kuondoka kwa wabunge hao haimaanishi kutokubaliwa kwa CHADEMA.
Wananchi ndio waliwaweka wMevua chupi wamewasaliti sasa mwananci gani atataka rakataka ccm ni marehemu hawashindi hawatakiwi hawana mbinu ni upuuzi wao na lwao wamejimaliza
 
Kwa hiyo tulivyosema wanaweka hawanunuliki ikabidi kitengo cha manunuzi kupandilie bei ili mwanamke aonekane kwenye orodha.
Ha ha nimecheka kweli wananusa tusemacho wamebadirisha theme ya uhamaji baada ya kuona kuunga juhudi za magufuli hazilipi sasa wanawake watafuata
 
Binafsi nimechoka kusikia kabisa habari hizi,badala ya kujenga nchi yetu kila kukicha watu wanaangaika na siasa kwa manufaa yao,cha msingi ni maendeleo ya nchi yetu haijalishi uko upande gani pigania hapohapo.Pia nawaomba wanasiasa licha ya kuwa ni haki yao kuhama pia waheshimu wapiga kura wao/asili yao.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
CDM anzeni kuvaa kanga na vitenge tu maanake gwanda siyo vazi la malaya lina historia kubwa mno ya ukombozi dunia hii
 
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi.
RUZUKU YA CHADEMA HAITOSHI KUKIENDESHA CHAMA.
Na Thadei Ole Mushi.
Pale Chadema wanapata milioni 300 kama Ruzuku ya chama kwa Mwezi. Huyu mbunge kasema amehama kwa kuwa alitoa fedha yake mfukoni kwa ajili ya kuendesha chaguzi kwenye mkoa wa Manyara na anadai kuwa wabunge wa Chadema wanakihudumia chama chao kwa kutoa fedha.
Nimefikiria million 300 kwa Mwezi Chadema zinaweza kufanya nini. Hebu tukadirie tu watendaji wa Chadema nchi nzima ambao hiyo Ruzuku ndio inayotumika kuwalipa mishahara.
Chukua tu top management yaani Mwenyekiti, Katibu mkuu, wakurugenzi wote wa chama waliopo na wenyeviti wa jumuiya za chama nk. Hapa hukosi watu 50 chukua tu kila mmoja analipwa milioni mbili utatumia milioni Mia kuwalipa mishahara hawa kwa Mwezi.
Zinabakia milioni Mia mbili chukua makatibu wa Mikoa yote Tanzania hawa walipe tu laki tano kila mmoja. Tufanye hii mikoa ipo 30 tu watagharimu shilingi milioni 150 kwa Mwezi. Sasa ukitoa pale zinabaki milioni 50 hizi ndio zinazotakiwa zishughulikie mambo mengine kama posho za vikao, Mafuta, Kodi za Ofisi nk.
#Hizi chaguzi ni vitu ambavyo havipo kwenye mipango ya chama. Ni mambo ya dharura yanayojitokeza sasa Chadema ikiamua kutoa fedha kwa kila uchaguzi wa marudio si watafilisika kabisa.
Achana na Kesi lukuki zilizopo mahakamani ambazo zinahitaji mawakili na mambo mengine mengi. Hii hela ni kidogo sana tuongee tu ukweli hata Kwetu Dr Bashiru Analia kuwa hatutoi michango na wanalazimika kuanza kufikiria matajiri. Hili lipo wazi..
Kuna wakati Ukweli unashindwa kuuficha kwa akili za Kijinga unaweza kudhani hizo milioni 300 ni nyingi sana ila ukizichakata kiuhalisia hakuna fedha hapo. Nina wasiwasi kuwa Mbowe hutumia fedha zake nyingi kwa ajili ya chama. Kukipenda chama si kupanua tu vidole msaidien Mbowe katika michango la msingi mpate mapato na matumizi.
#Hapa ndipo utakapogundua kuwa Mbowe anaiongoza Chadema kwa miujiza. Nani asiyefahamu kuwa wanachama wa vyama vya Siasa huwa hatutoi michango ya Ada?
Chadema ni tofauti na CCM haina vitega uchumi ambavyo vinaweza kuwasaidia. Sijui nyie Wanachadema mnataka Mbowe atumie fedha zake za mfukoni kukiendesha chama?
Msaidien Mbowe kwa kulipa ada za Uanachama angalau apate mishahara ili aajiri vichwa vya kutosha pale Ufipani.
Sijui mishahara ya watendaji wa chama ila milioni 300 kwa chama kikubwa kama Chadema hazitoshi kukiendesha.
Afisa habari wa Chadema Makene atoke ndani sasa amsaidie Mbowe kujibu hizi propaganda kwa vielelezo.
Ole Mushi.
0712702602
 
Nimesoma kwa makini sababu za mwanadada huyu, naona kama kumbe pia kuna dalili za 'sexual harassment'. Anarudia mara mbili au zaidi juu ya juhudi za kutaka kutweza utu wake. Ndo maana natia shaka sana juu ya CHADEMA. Ubora wa tabia ya viongozi wake. Makuzi yao hayaruhusu wawe vinginevyo. Aibu ni kuona hata ma-profesa wawili, Baregu na Safari hawawezi kulitokomeza tatizo hilo!
Hao maprofesa wawili hawana moral identity yenye uwezo wa kusahihisha chama kama hiki. Wao wenyewe tunawajua, miaka yao yote ni kundi hilo hilo!
Mama huyu, michango yake bungeni huwa ni ya kuvutia:
 
Maendeleo Hayana Chama
Kosea Kuoa Ila Siyo Kuchagua
 
Tumuombe mungu atupe siku za kuishi ili tuone mengi yanayokuja meli imebeba mzigo ni wakati wa kutia nanga ili kila Mwenye mzigo wake ashushe mungu tupe siku za kuishi ili tuione mengi yanayokuja
 
Viipi alivyohama Nyalando haikuwa kero? Mbwa kabisa nyie
Heri ya mbwa ni mwaminifu kwa mwenye mbwa kuliko mchawi asiependa maendeleo.

Kachukue posho yako Lumumba tusi lako linatosha kabisa kwa leo kuzipata hizo tenga saba.
 
Hata zama za mwisho watu watapinga na kuzikana Imani zao, na wakawa wafuasi wa Masih Dajal, ambaye atakuwa na uwezo wa kufanya miujiza fake. Wakiamini kuwa ndo msema na mfanya kweli... Lakini mwisho wa siku wakija kuhamaki washapotea kupotea kuliko kukubwa sana.
"USITEME BIG G KWA KARANGA ZA KUONJESHWA".
 
wameshaona hakuna mpinzani atakayeshinda 2020 chini ya baba letu fisadi
na wao wananjaa..
mimi huwa nasema pombe hakuonesha uadilifu kwenye kura zetu unadhani ataonesha kwenye kodi zetu...
 
Hizi Mbegu mnazo pandikiziwa na Chadema ipo Siku zita leta Mafanikio ..
Ha ha ha, mbegu mlizopandikizwa na ccm (Lowassa, Sumaye na Nyalandu) tayari zimeanza kuisambaratisha chadema. Unajifanya huoni lakini.
 
Back
Top Bottom