Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
Aliyekuwa anaongelea watu wasio wake ni nani?Huyu mwanadada hajawahi kuacha kuwaongelea watu wake
Aliyekuwa anaongelea watu wasio wake ni nani?Huyu mwanadada hajawahi kuacha kuwaongelea watu wake
Acha kutetea ujinga au na wewe ni mnufaika wa hiyo ruzuku?Majitu mapumbavu utayajua tuu, uwezo wao wa reasoning no mgogoro mtupu. Hiyo laki 5 ni fine au makubaliano? Halafu hivi kwako kwa taasisi ya kitaifa kama Chadema 300 milioni unaona ni kuwa sana kama unavyo aminishwa?
We nenda tuu kaendelee na kazi zako dukani kwa wahindi tuu, maana ndio akili yako inafit
"...Nilikataa kuwaabudia katika namna ya kuutweza utu wangu."Upuuzi wa namna hii, ipo siku utakoma. Watu hawana huruma na taifa hili.
Asante mama nenda huko kuna kipengele ndani ya katiba ya ccm kinauliza umekufanyia nini chama?Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Hongera sana dada kwa kutaa kuutweza utu wako?Mbunge wa babati mjini kupitia tiketi ya CHADEMA ndg. Pauline Gekul amejihuzuru nafasi yake ya Ubunge leo hii. View attachment 897179
Mama amekataa kutwezwa utu wake!! Mwenyekiti anataka kumtweza kila mbunge mwanamke. Gekul umekataa shatani na mambo yake, hongera sana. Ningekuwa nakufahamu ningekuja nikununulie japo soda!"...Nilikataa kuwaabudia katika namna ya kuutweza utu wangu."
Duh Mwenyekiti bhana!
kamuulize JIWE atakwambia amebakisha wangapiHivi wamebaki wabunge wangapi sasa? Kamati kuu ya Chama kuendelea kukaa kimya (as if nothing is happening....) bila kukutana kujadiri hii situation na kuassume blindly wanaohama wananunuliwa ni uzuzu.
mtapata taabu sana..Hivi Mbowe haiwezekani kabisa kuachia ngazi kupisha wengine??
lipumbuzz yupo tangu kimeanzishwa mbona hamuwashwiwashwi naeHivi Mbowe haiwezekani kabisa kuachia ngazi kupisha wengine??
Mfalme Tweza!!!!viti maalum,
Uvumilivu una mwisho. Sina uhakika kama kweli Mbowe na wenzake (CHADEMA) wana vision! Na nadhani ndio maana hadi sasa hawana ofisi yenye hadhi ya kitaifa!Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Sio 2020. Mwaka huu!2020 hilo jimbo linaenda ccm.
Kwa ccm ha ha mtu mfupi kamuwahi akapumzike tuPauline Gekul ni kamanda wa ukweli ...sio wa kubezwa
Ccm inaofisi wapi nyumba zote zimejengwa na serikali nawenyewe wakadandia nenda kacheze na mtoto chupaUvumilivu una mwisho. Sina uhakika kama kweli Mbowe na wenzake (CHADEMA) wana vision! Na nadhani ndio maana hadi sasa hawana ofisi yenye hadhi ya kitaifa!
Nyie kila mtu alitabiliwa..duHuyu alishatabiriwa humu humu Jf kuwa siku si nyingi ataunga juhudi
Daudi albert bashite na baba yake mtu mfupi ndio ataamini propaganda hii ya kichina kinachochekesha jinsi munavyowanunuwa ndivyo jinsi munapodharaurika na wananchi tatizo la kuwa na mwenyekiti katibu na katibu mwenezi wasio na ushawishi ccm wamekataliwa ndani hata wageni wanawachunaKwenye chaguzi ndipo anapopiga pesa yaani jamaa ni mjasiria mali hakuna mfano. Ruzuku ya milioni 300 Kwa mwezi zote anatia mfukoni harafu anawachangisha wabunge kila mwezi eti pesa za kuimarisha chama.
SI kweli ..katiba inamlindaMalaya ni malaya tu (nukuu ya Nyerere) hata umpambe vipi.