Ugangaaa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2017
- 370
- 559
Mini Siyo mpenzi wa siasa wala chama cha siasa ila kwenye hii sababu ni yakipuuzi pia hao wabunge ni wa binafsi zaid kuliko uyo mwnyekiti wao...kuhama chama afu kugombea tena ni kuwakomoa wananchi. Uwezi kukwepa kukatwa laki 5 afu unaingiza wananchi kwenye umaskini kwa mabilioni ya pesa ktk kurudia uchaguziiii. Tuwewakweli nani anafurahi kununua smartphone baada ya smartphone yake kuibiwa na kibaka ndani ya muda mfupi? Sembuse gharama za kurudia uchaguzi? Huu ni upuuzi kama upuuzi mwengine na ukiunga mkono jitathmini kichwa chako kimejaa akili au ushabiki?