Nimezisoma sababu zake, ana hoja za msingi, asibezwe na hoja zake zisipuuzwe, kuna vitu vikubwa, vibaya, vichafu amevieleza hapa kwa just mention, bila kuvitaja, lakini kama vitu hivi ni kweli, then, wabunge wanawake wa Chadema, ni mashujaa sana, ni wavumilivu sana na wastahimilivu sana kwa vitu wanavyofanyiwa na viongozi wao, huyu ameshindwa kuvumilia, uvumilivu umemshinda, japo amewastahi lakini amesema katika mabano na hapa ninamnukuu "iliniuma sana pale nilipokataa kuwaabudia viongozi wa chama kitaifa kwa namna itakayo tweza utu wangu" Jee unakujua huko kuabudiwa kunakotweza utu wa mwanamke?.Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
bora wasipate ila wawe na amaniSasa huo ni ujinga na ukichaa kama mwenyekiti wake mpya alivyojinasibu, hawa wabunge wasingekuwa wananunuliwa na kuahidiwa kupewa ubunge kwa tiketi ya chama cha vichaa wasingeacha ubunge, iko siku watanyimwa kugombea walah watatembea uchi wakiokota makopo
Angehamia cdm ingekuwa ujanja mtupu?ujinga mtupu.
Kukatwa hela siyo tatizo kama mmekubaliana hizo fedha ni kwa ajili ya kujenga na kukiimarisha chama. Sasa kama mpaka chaguzi ndogo mbunge anagharamia mwenyewe hizo laki 5 zinaenda wapi? Ofisi za kanda hazipelekewi hela kwa ajili ya kujiendesha. Mpaka leo hatuna Makao Makuu ya chama inayoeleweka. Hizo fedha zinaenda wapi? Msitetee ujinga hapa kuna tatizo kubwa.Sioni, tatizo kama walikubaliana ikatwe hiyo laki 5. Nafikiri, kulikuwa na kikao rasmi, sasa kama palepale hakuwa tayari, halafu akakubali, kisha, anakuja kuona haikuwa vyema bila shaka alikuwa mnafiki tu. Aende ambako hawakati pesa. Aende ambako mambo yamekuwa shwari, kiasi kwamba wakulima na wafanyakazi hawalalamiki. Aende tu ambako, wafanyabiashara wana amani pia. Aende tu, ambapo watu hawapigwi hela. Lakini asisahau kuwa sababu alizotoa ni kazitoakwakuwa ni lazima uwe na sababu, unapoamua kuighiribu jamii.
Kazungumzia kuwa hili suala la malalamiko yake aliyoyasema kama sababu za kujiuzulu aliyafikisha sehemu za juu kwenye chama chake na kutosikilizwa? Au alijibiwa vipi?Human Being is a selfish being.Ukihoji na ukaona hakuna mafanikio ya kuhoji unaangalia maslahi yako.Na Gekul kaangalia maslahi yake.Africa hakuna wapambaji wa maslahi ya Umma.Unapambana kwanza Kwa maslahi ya tumbo lako then unakuja kupambana Kwa ajili ya maslahi ya Umma.
Wanazi wa chadema ni vipofu. Hawaoni matatizo ya ndani na hawataki hata kuyajua.Nimezisoma sababu zake, ana hoja za msingi, asibezwe na hoja zake zisipuuzwe, kuna vitu vikubwa, vibaya, vichafu amevieleza hapa kwa just mention, bila kuvitaja, lakini kama vitu hivi ni kweli, then, wabunge wanawake wa Chadema, ni mashujaa sana, ni wavumilivu sana na wastahimilivu sana kwa vitu wanavyofanyiwa na viongozi wao, huyu ameshindwa kuvumilia, uvumilivu umemshinda, japo amewastahi lakini amesema katika mabano na hapa ninamnukuu "iliniuma sana pale nilipokataa kuwaabudia viongozi wa chama kitaifa kwa namna itakayo tweza utu wangu" Jee unakujua huko kuabudiwa kunakotweza utu wa mwanamke?.
pia kama mtu mwenyewe ni huyu
View attachment 897540
Na eneo analotoka ni Babati, then kiukweli kabisa, huyu ni shujaa, kwa sababu vitu vingine, na mambo mengine, sisi wengine wenu wenye udhaifu nayo, hata ningekuwa mimi...
Kama tuhuma hii ni kweli, hii inamaana wabunge wengine wanawake wa Chadema, wanavumilia sana.
Hivyo naendelea kusisitiza
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike - JamiiForums
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P.
Waliohoji walishapewa makaripio makali sana na kutishiwa kutoteuliwa kugombea ubunge 2020. Hii ni Karma kwa M/kiti Chacha wangwe alikufa na kihoro, Dk. Slaa aliondoka na kinyongo.Mkuu kwa mawazo yangu naona kama anasema wabunge wa hicho chama wanakatwa laki tano 500,000 kila mwezi na hamjui matumizi yake kwa nini msihoji mpambanaji wa kweli hakati tamaa kukimbia sio suluhisho
Acha UjingaKwa hiyo paroko anayehubiri kuwa uchawi, wizi na fitina ni dhambi mbaya uongozi wa jimbo ukimsahau na kumuachia parokia aliendeshe kwa fedha zake anaamua kuacha uparoko na kujiunga na kundi LA wachawi aliokuwa anawapinga kila siku?
Hayo maelezo ya kijinga mkawape mama wa mama zenu wazee kule kijijini labda ndio watawaelewa
Sasa hili anatakiwa afanye Mbunge au Chama?Sawa, uamuzi wake ni mzuri lakini? Hapakuwa na jinsi yeyote ambayo wangeweza kaa na kusolve.? Nachokiona ni Njaa, na hofu ya maisha, inayotia kiwewe cha kurudi bungeni tena.
Matumizi yanakwenda wapiC walipitisha maamuzi kwa pamoja km wajumbe anacholalamika ni nn?huyo mama hana shukrani hata chembe ameona laki 5 ina thaman kubwa kuliko ubunge wa zawadi aliopewa 2010.
Ishu hapa siyo kukatwa hela. Mbunge anahoji hizo hela wanazokatwa zinakwenda wapi?RUDIA KUSOMA TENA NILICHOANDIKA, MTUHUMIWA NI MBOWE NDIYE ANATAKIWA KUSHTAKIWA. KAMA MAAMUZI YAMEFANYWA NA CHAMA INA MAANA NA HAO WANAOLALAMIKA NI SEHEMU YA WALIOTOA HAYO MAAMUZI