Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,275
- 13,575
Duh siku zimisha.Wajitahid wawahi deadline?December
Duh siku zimisha.Wajitahid wawahi deadline?December
Ww kuna kitu huelewi..nakuhakikishia hata wale waliopoteza maisha kwa ajili ya hiki chama wakifufuka leo watajuta kwanini wali support hiki chamaPascal tunakuheshimu sana, katika hili la hamahama hamna sababu yeyote iwayo itamfanya mtu yeyote mwenye hata uelewa wa chini kuziamini sababu zinazotolewa na hawa malaya wa kisiasa. Kwa umri wako wapo wabunge wa ccm hata wamevunja ndoa zao za awali na kuoana wao kwa wao, ati huyu mama anakoenda ni salama sana! Upuuzi tu!. Hawa watu wanatia hasira, ni ubinafsi mkubwa sana. Kupoteza kiti cha upinzani kwa style hiyo inauma sana, kuna waliokuwa vilema, wamepoteza maisha kwa ajili yake leo anakuja na issue za gharama za kujenga chama kilichojengwa juu za roho za watu?. Watu wameuawa kwa kukijenga chama, kuna gharama zaidi ya hiyo?.Pascal kila mtu anajua serikali na chama tawala wameamua kuchagua njia haramu kuua upinzani wala usipoteze mda wako kutuchambulia. Siasa mufilisi njoo huku tutakurudishia ubunge wako..., imagine. Watanzania ni wapole sana ila Ipo siku hawataamini ni hawa tuliokuwa tunawachezea.
Majitu mapumbavu utayajua tuu, uwezo wao wa reasoning no mgogoro mtupu. Hiyo laki 5 ni fine au makubaliano? Halafu hivi kwako kwa taasisi ya kitaifa kama Chadema 300 milioni unaona ni kuwa sana kama unavyo aminishwa?Acha Ujinga
nenda kwenye mada husika
Laki tano kila mwezi za mbunge za nini na zinaenda wapi
Milion 300 kila mwezi zinaenda wapi
Hamna hata Banda la kuku!!
Mnashindwa kujiongoza Nchi hii mtaiongoza!!
Unaongea pumba mpaka najisikia vibaya kuwa kwenye same platform na wewe. Hakika ningekuwa na roho nyepesi ningejitoa humu.Acheni ujinga wenu,chama kilianza kupata ruzuku ya milioni 300 baada ya uchaguzi mkuu uliopita? au ni baada ya uchaguzi mkuu uliopita? ,wakati mteja wenu anatumia pesa zake za mfukoni chama kilikuwa kinapata ruzuku ya kiasi hicho? Je CCM wamemrudishia pesa zake alizotumia kwenye uchaguzi ndiomaana kajiunga na CCM? Je hamuoni kuwa ni ujinga na upumbavu kuhurumia fedha ulizotumia kwa kitu ambacho ni kwa ajili ya faida yako mwenyewe na kushindwa kuhurumia mabilioni ya fedha za wananchi ambazo zingitumika kufanya kazi za maendeleo ya nchi badala yake zitatumika kwenye marudio ya uchaguzi?.
Hapo ndio uwa mnawapiga "sound" makamanda kuwa 300 m sio kitu kwa taasisi kama CHAGADEMA. Leo ni kuwafanya wasihoji matumizi ya fedha za ruzuku za chama.Majitu mapumbavu utayajua tuu, uwezo wao wa reasoning no mgogoro mtupu. Hiyo laki 5 ni fine au makubaliano? Halafu hivi kwako kwa taasisi ya kitaifa kama Chadema 300 milioni unaona ni kuwa sana kama unavyo aminishwa?
We nenda tuu kaendelee na kazi zako dukani kwa wahindi tuu, maana ndio akili yako inafit
Thubutu! Utakuwa hupajui hapa....kama jimbo litaenda CCM basi polisi na NEC watakuwa wamefanya kazi ambayo hawajawahi kuifanya tangu taifa hili liundwe!2020 hilo jimbo linaenda ccm.
Tatizo ni uelewa wako tu!Unaongea pumba mpaka najisikia vibaya kuwa kwenye same platform na wewe. Hakika ningekuwa na roho nyepesi ningejitoa humu.
Unasema eti ni faida ya Mbunge kuendesha chaguzi ndogo! Huu upuuzi ndio nausikia kwako leo. Tafakari hiyo dhana yako kisha chukua maamuzi sahihi ikiwemo kufuta comment yako yote.
kama yule boss wa JIWE ambae ni m'bunge wa chato inapendeza munooo[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji61]Ingependeza kichwa cha habari kisomeke Boss wa Mbowe Na Godless Lema ahamia CCM.Pauline Gekul ndiye alikuwa mwenyekiti wa wabunge wa kanda yote ya kaskazini wa Chadema ambamo Mbowe Na Godless Lema ni wabunge wa hiyo kanda ambao walikuwa wakimwamkia Pauline Gekul Shikamoo Boss.
kuwashwawashwa si mchezoLisu mwenyewe yuko mbioni kuhamia CCM
Hilo siku hizi siyo habari tenaMbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Bring back our 1.5 trillionNiliwahi kusema hapa ,Bavicha hawa ndio wanafuata ,tayari wameomba kujiunga CCM
Ni kina nani hasa hawa K'njaro 2, Dar 2, Mara 1 na Manyara 1? Internet imefumbua fumbo na sababu zao za kuhama - JamiiForums
Utasikia bajeti ya kurudia uchaguzi ni billionsUpuuzi wa namna hii, ipo siku utakoma. Watu hawana huruma na taifa hili.
Pauline Gekul ni kamanda wa ukweli ...sio wa kubezwa
Mrudisheni Mo wetuHuyu mwanadada hajawahi kuacha kuwaongelea watu wake
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Hawana shida lazima dau walilopewa ni kubwa na ahadi ya kugombea tena bila kupingwa mwaka 2020 watakuwa nayo. Siyo muda mrefu yote yatadhihirikaSio habar ya kushangaza ila. Najua watalia sana 2020 hawatakua na nafasi wala dhamani ndani ya ccm by that time