FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Hahaha! Kwani ccm hakuna madili????SAFI SANA DADA YANGU UMEFANYA LA MAANA KWANI KUISHI NA CHAMA CHA WAPIGA MADILI NI SHIDA
Hahaha! Kwani ccm hakuna madili????SAFI SANA DADA YANGU UMEFANYA LA MAANA KWANI KUISHI NA CHAMA CHA WAPIGA MADILI NI SHIDA
Hapo sasa2015 mliwanunua wanaccm kwa sh ngapi?
Fact walahiSAFI SANA DADA YANGU UMEFANYA LA MAANA KWANI KUISHI NA CHAMA CHA WAPIGA MADILI NI SHIDA
Yote haya alianzisha Nyalandu kilichofuata sasa.Chadema huwa siwaelewi kabisa akihama Lowasa na Nyarandu kutoka CCM kwenda Chadema wanasema ni haki yao ya kidemokrasia ila wakihama wabunge wao kwenda CCM wanadai wamenunuliwa.
Huyo mwenye retard chromosome achana naye!Taratibu utabadili jina na kujiita Debit Slip.
Kiuhakika hili jambo linawa-define watanzania, ni sehemu ya jamii yetu hawa.Kuanzia leo tusiwaamini hawa wabunge wa chadema. Anayesema leo hawezi kuondoka chadema unashangaa weekend ijayo anaondoka. Hii haina haja ya kufanya vikao vya ndani ndani ya chadema, kwa sababu unakaa na mtu wakati mwenzako anapanga. Kuondoka
Nahisi kutapika Mie!?
Ndimu inakuhusuNahisi kutapika Mie!?
ushindwe na ulegee , laana ziko huko kwenu chadomoKuna watu bado wanaamini tutapiga hatua kufikia nchi ya viwanda kwa drama za kipuuzi kama hizi?. Hii nchi ina laana kubwa.
mbona huongelei 500000 inayokatwa kila kukicha?
Ni ujinga kulalamika na kupigania sheria zifatwe pale upinzani wanapoonewa lakini zisifatwe kwenye mambo mengine kisa zinafaidisha CCM. Chaguzi zinarudiwa kwasababu shEria inasema hivyo siyo kufurahisha watu Fulani. Mnapigania demokrasia wakati hata values za demokrasia hamzielewi wala kuziishi.Kuna idara ya mapambio wenyewe wanaona sawa tu they care less hawajui ni matumizi mabaya ya kodi.
chadomo ndio nini???ushindwe na ulegee , laana ziko huko kwenu chadomo
Ndio chadomochadomo ndio nini???
Ni ujinga kulalamika na kupigania sheria zifatwe pale upinzani wanapoonewa lakini zisifatwe kwenye mambo mengine kisa zinafaidisha CCM. Chaguzi zinarudiwa kwasababu shEria inasema hivyo siyo kufurahisha watu Fulani. Mnapigania demokrasia wakati hata values za demokrasia hamzielewi wala kuziishi.
Nchi inahitaji chama kingine cha siasa kuikabili CCM na siyo CDM hii kazi imewashinda hamna uwezo wala uweledi.
DecemberIvi mwisho ni lini?