Ma nyie lazima mumpake mavi.Kila anayehama lazima mumpambe!
Ma nyie lazima mumpake mavi.Kila anayehama lazima mumpambe!
Mbowe bhana anatoa laki 5 kugharamia uchaguzi halafu kwa CAG wanaonyesha Chadema imetumia milioni 500 kwenye uchaguzi mdogo.......kwakweli meku na pesa ni kama uji na mgonjwa!Tena Asipotoa anatishiwa
Ndio maana wanakimbilia huko. Kuna ulaji!Wewe uko CCM kwa kutegemea cheo.
Kwani kaandika yeye hiyo barua au kasaini tu ?She has poor reason....
Alipaswa kusema wazi tu kuwa ameamua kuunga juhudi za mheshimiwa rais(Nasi tungejua kuwa amefika bei).
Hakuna jipya.
Hiyo story ya kununua na kununuliwa ilishakosa kiki na wananchi wameshaishtukia tafuteni kisingizio kingine.Kwa lipi la ajaabu?
Kubadili maisha ya watanzania mmeshindwa mmebaki kununua wanasiasa mkidhani ndio wananchI watawakubali kumbe mnadhidi kuwakera na wanawaona wabinafsi.
Kama chaguzi zinagharamiwa na wabunge ruzuku mnafanyia nini?!Kwa lipi la ajaabu?
Kubadili maisha ya watanzania mmeshindwa mmebaki kununua wanasiasa mkidhani ndio wananchI watawakubali kumbe mnadhidi kuwakera na wanawaona wabinafsi.
Tunajenga vituo vya afya idadi kubwa zaidi tangu tupate uhuru.Rambi rambi inajenga wodi ya kumbukumbu.Vituo vya afya tunavijenga baada kukusanya rambirambi za majanga au umekwishasahau hilo?
Wanakacha chama kilichoshindwa kukarabati ofisi zake, licha ya kupata mabulungutu ya ruzuku kila mwezi.Wanaunga mkono serikali inayoshindwa kulinda raia wake!!
Mkuu mla ni mla leo!Sasa iv wakienda wanapewa kipaumbele, ila 2020 hawatatoboa kwenye chaguzi za ndani.
Ccm ni ile ile
Milioni mia tatu kuendesha chama unaziona nyingi sana mzee.ccm wanapoke ngapi lakini bado wanatumia pesa za serikali kwa mambo yao yoteRuzuku ziliwe na Mbowe halafu uchaguzi uchangiwe na wabunge ...huo ndio upuuzi
CCM CCM CCM CCM!
Kwenye chaguzi ndipo anapopiga pesa yaani jamaa ni mjasiria mali hakuna mfano. Ruzuku ya milioni 300 Kwa mwezi zote anatia mfukoni harafu anawachangisha wabunge kila mwezi eti pesa za kuimarisha chama.Mbowe bhana anatoa laki 5 kugharamia uchaguzi halafu kwa CAG wanaonyesha Chadema imetumia milioni 500 kwenye uchaguzi mdogo.......kwakweli meku na pesa ni kama uji na mgonjwa!