Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Tusubiri mtifuano ndani ya chama pendwa 2020.
 
Habar za wanasiasa Malaya tulishachoka nazo Sisi naona ccm wanamuenzi Mwl. Nyerere kwa vitendo
 
Sawasawa,Mungu yupo anayaona haya malipo yapo tena Kwa pande mbili zote.
Poleni watumishi, Poleni watanzania.Maisha yenu yatabaki hivo milele
 
Back
Top Bottom