Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Mwanzo tuliona tunu/ajabu sasa imekua kawaida. Nasubiri na mbunge wa Siha
 
mkuu huwezi nielewa lakini huwezi kuwa mpinzani wa kweli toka moyoni ukahamia ccm. hivi unajua tolfauti ya cccm na chadema au cuf? mwansiasa w kweli huamini katika chama na sio fursa.Ni bora mh mbunge angeujuzulu uanachama na kuacha siasa kuliko kujiunga na ccm.;huwezi kubadili itikadi kizembe hivo.
Usemayo ni kweli na haitachukua muda kushuhudia hayo, tutaona tu jinsi umahiri wao unavyopotea kwani watalazimika kuongea ki-kasuku zaidi na si kiutashi.
 
Ona ulivyo hewa
umeulizwa unapayuka
Jibu ulicho ulizwa 300ml kila mwezi zinakwenda wapi
mbona mnakwepa swali hili
Sehemu nayo fanyia kazi mie
Ukoo wenu wote hamjawahi ata kuwa na ndoto yakufika pumbavu
Watu wenye msongo wa mawazo sio wa kukaa na kujibishana nao. Endelea kuwa mtumwa wa fikra za kiongozi wa wanyonge na masikini tuu. Bado nakuuliza 300M kwa taasisi kubwa kitaifa kama Chadema zinatosha mpaka mtu Kama Mbowe ambaye vitega uchumi vyake vinaweza kuzalisha zaidi ya hizo aibe?
Kamsome hata kada wenu wa CCM mnayemtegemea Ole Mushi atakufafanulia ili uache hizo hoja zako za kimasikini. Eti "sehemu ninayo fanyia mimi hamuwezi kuwa na ndoto ya kufika" ni kweli kama bado ni mtu wa kutumikishwa endelea name siwezi kufika huko! labda nifike kukuchukua ili nikutumikishe. Njoo PM unifahamishe uko wapi nije na dau la kukununua toka ulipo. Sikutangazi ni maisha tuu, wamenunuliwa kina Waitara itakuwa wewe!
 
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240

Aha, nilidhani ni wakuchaguliwa kumbe ni wale wasiochaguliwa/
Wale nyota zao zinafifia mwanga inabidi waondoke.wangesubiri maamuzi ya wa piga kura wao kuliko kukosa yote.sio lazima wala haipo katika mikakati ya chama kila ukitoka lazima urudi katika ngazi uliyotokea. nashauri arudi kuwa mwana ccm tumpime akifaa baada ya miaka 5 hadi 10 ndo aombe uongozi ndani ya chama.
 
Watu wenye msongo wa mawazo sio wa kukaa na kujibishana nao. Endelea kuwa mtumwa wa fikra za kiongozi wa wanyonge na masikini tuu. Bado nakuuliza 300M kwa taasisi kubwa kitaifa kama Chadema zinatosha mpaka mtu Kama Mbowe ambaye vitega uchumi vyake vinaweza kuzalisha zaidi ya hizo aibe?
Kamsome hata kada wenu wa CCM mnayemtegemea Ole Mushi atakufafanulia ili uache hizo hoja zako za kimasikini. Eti "sehemu ninayo fanyia mimi hamuwezi kuwa na ndoto ya kufika" ni kweli kama bado ni mtu wa kutumikishwa endelea name siwezi kufika huko! labda nifike kukuchukua ili nikutumikishe. Njoo PM unifahamishe uko wapi nije na dau la kukununua toka ulipo. Sikutangazi ni maisha tuu, wamenunuliwa kina Waitara itakuwa wewe!
Hahaha Eti Taasisi
Shenzi kabisa
Taasisi ya Vilaza hapo sawa
Mmeshindwa Kuwa na Banda lakuku
300ml kwa mwezi, michango
Makato ya kila mbunge 500000 kwa mwezi
Wahisani wenu
Unahitaji nini!!
Tunawaeleza mmeshindwa kujiongoza Hamtaweza kamwe Kuongoza Taifa hili.

Narudia kukuambia Napo fanyia Kazi Ukoo wenu hauna hata ndoto kufika
Naajiriwa na Kodi ya Ukoo wenu mzima
Tena kwa Lazima sio Ombi
 
MANENO kuntu walahi
 
2020 na bet wote wanapigwa chini na kupotezwa kisiasa
 
Back
Top Bottom