myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee 🤣 🤣Hapa ndo mbwa kala mbwa mwingine
Aisee 🤣 🤣Hapa ndo mbwa kala mbwa mwingine
Hawamtaki tena huyo..Chadema waje kuchukua mtu wao.
Hawezii.. ..Soon Mbowe atafanya ziara Babati kwenda kuomba uchi wa huyu dada ili amrudishe kundini.
Arusha kuna yule alimuunguza bekiWatu wengi wenye madaraka huongoza kwa unyanyasaji wakijua ukienda Polisi hutasikilizwa au itapigwa simu utakuwa kimya.
Hamna kitu.Labda mcheze ngoma ya msusumio.Bure kabisa!Babati twadeka
Pascal kaka yangu shida hapa si kuhama vyama,Mara nyingi wanahama kwa ajili ya matumbo yao tu.Mara nyingi vyeo vinaitaji watu wenye hekima Sana,nikupe mfano mdogo tu pia maofsi ya umma utaona wengi walivyopofushwa na vyeo.Tunaitaji mfumo Bora wa kusaidia Hawa watumishi wa umma wajue wapo hapo kwa ajili yetu wananchi ili tusonge mbele.Nampongeza mama kwa kuchukua hatua haraka ili liwe funzo kwa wengine.Mbunge mpinga unyanyasaji, alihama Chadema kupinga unyanyasaji, akajiunga CCM, sasa ndio amegeuka mnyanyasaji!.
P
This is an interesting story to know.Na wewe uliamini ngonjera zake wakati wa Biashara ya kiasiasa? Mwanamke aliyemnyanyasa mumewe sababu ya madaraka anawezaje kuwa mpinga manyanyaso? Gekul ni mnyanyasaji hata kabla ya hili la Sasa, uliza mumewe Yuko wapi na kilimtokea nini baada ya Gekul kuuaga umasikini?
Mkuu Mrs Besyige , niliwahi kutoa angalizo hili Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!Karmaa...🥰
Wao wanakanyaga kwako!? Km hawakanyagi kwako, kwanini unajipa umuhimu Mkubwa kiasi hicho kwenye maisha Ya watu!? Tafuta hela acha wivu!Aisee wambuku/wairaq wana nyodo sana wakijipata. kuna mke wa ndugu yangu alimwambia mdogo wa mume wake wa kiume, unawashwa eh, mbele ya mama mkwe wake, kisha dogo aliomba gari aende beach na rafiki zake. kuanzia siku hyo sikuwai tena kanyaga kwa huyu ndugu.
we una maono ya mbali mno mno...i real appreciate you
Niwe na wivu na mtu ambaye ametoka familia fukara fukarika, ambaye wazaza wake walikuwa wanaishi nyumba ya udongo wakaja kujengewa baada ya kuolewa, aje kwangu akafanye nn mpuuzi kama huyo, kigari chenyewe wanacho kimoja ndo anajishebeduaga nacho,Wao wanakanyaga kwako!? Km hawakanyagi kwako, kwanini unajipa umuhimu Mkubwa kiasi hicho kwenye maisha Ya watu!? Tafuta hela acha wivu!
Ni zamu yake kuongelewa si tu na watu wake bali na taifaHuyu mwanadada hajawahi kuacha kuwaongelea watu wake
Haya chukueni kamanda wenu wa kuwawekea chupaPauline Gekul ni kamanda wa ukweli ...sio wa kubezwa
Mzee umepiga vibaya tena utosini😂😂😂Huyu mbunge na mwenzake siku wanaondoka Chadema waliitisha press conference na kudai sababu ya kuhama Chadema ni walitongoz.. na Mbowe na kulazimishwa kufanya s.x bila ridhaa zao!.
Nijuavyo every beautiful lady is open to be approached regardless their marital status, hivyo mwanamke yoyote anayetangaza kuhama chama simply because ametongozw. huyu ni Mwanamke mjinga!.
Halafu Mwanamke mwenyewe wa Babati!, from yale makabila ambayo wanawake wake they can't say no!. Kama ni kweli boss alimtokea!, then... so why kujifanya malaika?.
Hii ni karma tuu!.
P
Hii inaitwa: Teleza uanguke tuone nyeti zakoNa wewe uliamini ngonjera zake wakati wa Biashara ya kiasiasa? Mwanamke aliyemnyanyasa mumewe sababu ya madaraka anawezaje kuwa mpinga manyanyaso? Gekul ni mnyanyasaji hata kabla ya hili la Sasa, uliza mumewe Yuko wapi na kilimtokea nini baada ya Gekul kuuaga umasikini?
Lakini pia kuna post yako hapo juu ilioponda sana chadema na Mbowe baada ya hiyu Gekul kuhama na kutoa tuhuma kwa chama
Gekul ni mchafu sana. Ulizieni alichomfanyia mumewe wa ndoaMbunge mpinga unyanyasaji, alihama Chadema kupinga unyanyasaji, akajiunga CCM, sasa ndio amegeuka mnyanyasaji!.
Kuna angalizo muhimu niliwahi kushauri Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Hivyo kinachomtokea mbunge huyu could be ni karma!.
P