Paulo Makonda, Ondoka Misri timu ipate hata Point 1

Duu RC kashindwa kusoma alama za nyakati. Mi ningekimbia mana Algeria watatuangushia kisago cha aibu. Natabiri haitakuwa chini ya nne
 
Kutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe

4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!

Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?

Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
 
Jana Burundi kaaga bila point, bila goli! Mimi kama Mtanzania naomba leo Algeria watupandishe ndege 1 na Burundi
 
Kutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe

4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!

Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?

Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
We lofa kweli, eti stars imeshinda baada ya Makonda kuwa mwenyekiti wa kamati!
Hujui kitu kaa kimya.
 
Huo ndo ukweli unaowatesa.

Hiyo miaka 39 ambayo Stars haikufuzu AFCON gundu alikuwa anaitia mumeo?
 
Kutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe

4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!

Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?

Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
Ushindi wenyewe tulipewe na Uganda kama andazi

Safari ya CCM Stars kwenda Afcon ni sawa na div 0 kung’ang’ania kwenda University. First Year anashindwa kupata 120 credits za kwenda 2nd year.
 
Leo Manula hatacheza ana maumivu [emoji848][emoji849][emoji850]
 
Kutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe

4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!

Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?

Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
Umetumia jicho la tofauti sana kutoa maoni yako.. big up great thinker
 
Ushindi wenyewe tulipewe na Uganda kama andazi

Safari ya CCM Stars kwenda Afcon ni sawa na div 0 kung’ang’ania kwenda University. First Year anashindwa kupata 120 credits za kwenda 2nd year.
Hayo ni yako my point is Makonda alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa.

Over.
 
Kwa tunaoishi ughaibuni tunahitaji ufafanuzi hapa.
Aishiye Mang'ula nasikia kajiolea kijana mwenye mahispsi na bonge la ms2ambwanda kutoka Kolomije.........
 
Wadau mwacheni Makonda na hata Taifa stars wakamilishe ratiba na waage vizuri mashindano muwe na kiasi bhana msiponde na kukosoa kupitiliza wapeni heshima kidogo tu ya angalau kushiriki hii michuano mara ya 2 kwa zaidi ya miaka 39 wanastahili hiyo heshima......
 
Back
Top Bottom