Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Yupo na Manula acha wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueAishiye Mang'ula nasikia kajiolea kijana mwenye mahispsi na bonge la ms2ambwanda kutoka Kolomije.........
Kijana gani mkuu?
We lofa kweli, eti stars imeshinda baada ya Makonda kuwa mwenyekiti wa kamati!Kutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe
4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!
Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?
Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
Huo ndo ukweli unaowatesa.We lofa kweli, eti stars imeshinda baada ya Makonda kuwa mwenyekiti wa kamati!
Hujui kitu kaa kimya.
Ushindi wenyewe tulipewe na Uganda kama andaziKutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe
4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!
Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?
Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
Umetumia jicho la tofauti sana kutoa maoni yako.. big up great thinkerKutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe
4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!
Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?
Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
Hayo ni yako my point is Makonda alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa.Ushindi wenyewe tulipewe na Uganda kama andazi
Safari ya CCM Stars kwenda Afcon ni sawa na div 0 kung’ang’ania kwenda University. First Year anashindwa kupata 120 credits za kwenda 2nd year.
Kwani huo uenyekiti kajiuzuru? Mbona tunafungwa tu, kama kajiuzuru au muda wake umekwisha namsihi agombee tena ili twende kombe la dunia kabisaHayo ni yako my point is Makonda alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa.
Over.
Bashite anaendeleza alipoanza Karia alipotia uccm TFF.Kuna baadhi ya wa-TZ ni kama wameisusia Taifa Stars baada ya Bashite kuingia humo
Aishiye Mang'ula nasikia kajiolea kijana mwenye mahispsi na bonge la ms2ambwanda kutoka Kolomije.........