Aisee, hivi mnajua nini mnataka kweli??Haitoshi kuondoa retention fee angerudisha na makato yawe 9% kama ya awali sasa hapo haina maana sana
Je. Wale wanaotozwa zaidi ya 9% ya PAYE wao wamepunguziwa kiasi gani!?Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%
Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.
Kazi Iendelee!
Nadhani ni kwa kuwa ameongea kwa mjumuisho, lakini kama retention fee itaondolewa kwenye jumla ya deni, kiasi cha deni kwa wengine kitaisha kabisa. Kwa kuondoa makato ya deni husika kwenye mshahara wa mhusika basi mshahara wake wa kwenda nao nyumbani utaongezeka.watanzania wengi weupe sana kwenye kuanalyse mambo,sasa retention fee inaogeza vipi mshahara?
Upo sahii Sasa , marupurupu Sio ya wafanyakazi ngazi za chini
Haitoshi kuondoa retention fee angerudisha na makato yawe 9% kama ya awali sasa hapo haina maana sana
Vipi sector ambazo mtu kufanya masaa ya ziada ni ngum wanakaa nafasi ipi, lazima kuangalia pande zote, Hapa labda lingikuepo fungu moja likaitwa KWA vyovyote lakini wakapata watumishi wote au Basi marupurupu yaondolewe maana watumishi wote wanategemeana kuanzia mfagiaji wa ofisi mkuuNadhani pia tunahitaji kufanya tathmini, marupurupu ni yapi? Kama hii itahusisha malipo masaa ya ziada basi itasaidia pia. Kwa wale wanaojua, ukifanya masaa ya ziada makato yake ni mzigo kwa wahusika.
Ni upumbavu mkubwa...UPUUZI MTUPU! Watu hawajaongezewa mishahara kwa miaka 6 halafu unaongeza elfu tu hahahahahaha elfu kwa wastani wa miaka sita ni upuuzi MTUPU!
Mmmh...moyo umevunjikaTufanye subra mwakani mambo mazuri bestyyyy. Tena package itakuwa ya uhakika
Vipi sector ambazo mtu kufanya masaa ya ziada ni ngum wanakaa nafasi ipi, lazima kuangalia pande zote, Hapa labda lingikuepo fungu moja likaitwa KWA vyovyote lakini wakapata watumishi wote au Basi marupurupu yaondolewe maana watumishi wote wanategemeana kuanzia mfagiaji wa ofisi mkuu
Inaumiza mno [emoji1787][emoji1787]Aiseeee[emoji848][emoji848][emoji848]
Asibadilike tu jamani SASHA wetu mweeh[emoji22][emoji22]Mama kaanza vizuri kwa kuonyesha kuwa anajali masurufu ya mfanyakazi. Punguzo hili la PAYE litawagusa wafanyakazi wote, yaani wa umma na hata wale wa sekta binafsi. Ingawaje punguzo hili la 1% bado ni kiasi kiduchu kuweza kumpa ahueni na unafuu zaidi mfanyakazi aliyenyimwa nyongeza yake kwa miaka mitano mfululizo.
Ahadi ni deni, Mama kaahidi kuongeza, tofauti na mwendazake ambaye alikuwa wala hana nia wala ndoto ya kuongeza. Tuzidi kuomba ya kuwa Mama asipite katika njia za Rai's aliyemtangulia.
Mmmh...moyo umevunjika
Maadam Mshauri wa Jiwe kwenye Fedha alikuwa Mh : Mpango . Basi tusishangae sana kinachotokea Leo hiiKuhusu kuongezewa mishahara watumishi subirini Tena[emoji38]
Tuendelee kujifukiza[emoji23][emoji23]
Marupurupu hayakua na kodi miaka mingi tu.
Marupurupu kama hela ya nyumba, chakula, nauli, safari nk hayakua na kodi.
Hiyo ya 8% ni ya watu wa kima cha chini cha laki 270,000.
Tunataka kodi ipungue kwa ambao mishahara wa digiti 7.
Kikubwa zaidi kodi ya ongezeko la thamani ipungue kutoka 18% hadi 15%.
Pili kodi ya kuagiza magari ipungue, watanzania tunaendesha mikweche ya miaka 20, 17 iliyopita. Tunataka kodi ipungue tusukume gari kali za miaka ya karibuni.
Kodi za gari Tanzania ni za ajabu Dunia. Nashukuru yule kamishna wa kodi za nje mlimtimua pale TRA, alikua anamshauri Magufuli ujinga. Mpumbavu sana. Alikua anajipangia kuongeza CIF ya magari ambayo alikua anajua anapoitoa mwenyewe. Nashukuru Magufuli alimshtukia baadae akamuondoa pale.
Haiwezekani watanzania tunaendesha magari ambayo huko kwa wenzetu yamepigwa marufuku. Gari ya miaka 20?
Punguza kodi za gari punguza ajali, punguza uchafuzi wa mazingira, okoa maisha.
Move onMmepiga mapambio wee mkidhani mshahara utaongezwa lakini ola..... wakati hayati JPM mlikuwa mkimtukana, kumbeza na kurushia kila aina ya laana.
Hapo wewe jiulize hiyo asilimia iliyopunguzwa kuotka 9% kwenda 8% yenye utofauti wa asilimia moja utanufaika na niniwakati aliyefikiriwa ni wa kima cha chini pekee?
Subirieni mchanganuo wa TRA kuhusiana na punguzo hilo. Furaha zote zimeishia kuloana na mvua
inapunguza deni haiongezi mshahara kwa wakati had umalize deni,vip kwa mtu asiyekua na deni bodi yan mtu wa daraja C nesi,sekretar etc stop ya retention inamsaidia nini kwenye mshahara wake?Itapunguza deni la bodi au kumaliza kwa wale waliokuwa wanadaiwa kidogo.
hii ni hadi umalize deni,na deni ni la minimum 5yrs,sisi tunaongelea mshahara kupanda kila mwaka na increment pia.Nadhani ni kwa kuwa ameongea kwa mjumuisho, lakini kama retention fee itaondolewa kwenye jumla ya deni, kiasi cha deni kwa wengine kitaisha kabisa. Kwa kuondoa makato ya deni husika kwenye mshahara wa mhusika basi mshahara wake wa kwenda nao nyumbani utaongezeka.
Yes, lakini bado ni faida kwasababu at least deni litalipika na kumalizika ili watu wawe huruinapunguza deni haiongezi mshahara kwa wakati had umakize deni.
Hata Magufuli aliahidi .Mama na JPM ni kitu kimoja tulieniNime-calculate hii kitu ni utani, ila kaahidi mwakani kupandisha mishahara.
Ok, ni maoni kulingana na mtizamo wa alichokiongelea kwenye contents zake.hii ni hadi umalize deni,na deni ni la minimum 5yrs,sisi tunaongelea mshahara kupanda kila mwaka na increment pia.