Paypal Tanzania

Paypal Tanzania

Nimefungua account hiyo. Wameila umeme. Kazi sana.

Ulikosea process mimi kila mwezi napokea zaidi ya $1000 na hakuna shida yoyote.
IMG_0189.jpg
 
Issue ya paypal tanzania inabidi uwe makini saana kama unafanya seriously business, maana unaweza kutumia janja janja mwisho wa siku ukapigwa pin na kibunda chako.

Nilifanya utafiti kwa zaidi ya miezi 6, kuhusu paypal, nilijaribu kila njia ambayo niliambiwa.

Lakini niliambulia 0, nilichofanya ni kuanza kufanya kiuharali zaidi, maana ninafanya seriously business ambayo kwa mwezi naingiza more than $10k.

Hatua nilizofuata ni.
1. Kufungua kampuni uk (unaweza kufungua hata US, but uk ni best and cheap) hapa nime submit business documents zangu, so wanajua mmiliki yuko uk basi.

2. Wise business account (hii ndio naitumia as a bank so nina usd account na gbp account)

So mzunguko wa hela uko hivi.

Mteja ananilipa kwa Paypal -> Na withdrawal to wise bank -> Than inakuja kweny my usd tz bank account (ila unaweza kupokea hata kwa Tsh, ila mimi tu nimechagua ziingie in USD)

So hapa unakuwa salama zaidi, kuliko hizo njia nyigine.
Screenshot_20230310-152028_PayPal.jpg
Screenshot_20230323-005143_Wise.jpg
 
Tofauti na hapo inaweza kutokea tatizo la verification ukashindwa uanzie wapi, maana mimi wakati najaribu baadhi ya njia hizo nilifanikiwa nikapiga kama 3 week waka detect na kuomba documents

Nikatuma documents za tz wakagoma na account ilikuwa na $189 zikaenda na maji.

But juzi kati stripe nao wamefunga my account but kwa kuwa nilikua na regal business documents nimetuma tu wakafungua tu chap, so hiyo ndio raha ya haya mambo.

But kama huna seriously business, unaweza kujaribu hizo njia zote nenda na YouTube pia mimi nina hayo ma video zaidi ya 100 [emoji28][emoji28]

So ivo yaani.
 
Issue ya paypal tanzania inabidi uwe makini saana kama unafanya seriously business, maana unaweza kutumia janja janja mwisho wa siku ukapigwa pin na kibunda chako.

Nilifanya utafiti kwa zaidi ya miezi 6, kuhusu paypal, nilijaribu kila njia ambayo niliambiwa.

Lakini niliambulia 0, nilichofanya ni kuanza kufanya kiuharali zaidi, maana ninafanya seriously business ambayo kwa mwezi naingiza more than $10k.

Hatua nilizofuata ni.
1. Kufungua kampuni uk (unaweza kufungua hata US, but uk ni best and cheap) hapa nime submit business documents zangu, so wanajua mmiliki yuko uk basi.

2. Wise business account (hii ndio naitumia as a bank so nina usd account na gbp account)

So mzunguko wa hela uko hivi.

Mteja ananilipa kwa Paypal -> Na withdrawal to wise bank -> Than inakuja kweny my usd tz bank account (ila unaweza kupokea hata kwa Tsh, ila mimi tu nimechagua ziingie in USD)

So hapa unakuwa salama zaidi, kuliko hizo njia nyigine.View attachment 2562092View attachment 2562093
Unafunguaje acc Uk kama ww n Mtanzania. Ningeomba ufafanue kidogo kama kuna namna ya kufanya hayo maswala online

Also mfano/list ya hizo business documents zinazohitajika na unazipataje
 
Fungua business paypal account address jaza lesotho.

Itakupa option ya ku add credit card utaweka ya tz.

Pia utapewa option ya kuadd USA bank account hapo ndo utaweka ya wise.

Ukiunganisha na account yako ya wise ni ngumu sana kufungiwa account yako coz wanajua upo USA.
Kwenye kujaza namba ya simu utahitaji uwe na namba ya Lesotho... na kama kuna uwezekano wa kupata izo namba tusaidiane
 
Fungua business paypal account address jaza lesotho.

Itakupa option ya ku add credit card utaweka ya tz.

Pia utapewa option ya kuadd USA bank account hapo ndo utaweka ya wise.

Ukiunganisha na account yako ya wise ni ngumu sana kufungiwa account yako coz wanajua upo USA.
Na hiyo Lesotho je?
Na hiyo account ya tz je?
 
Unafunguaje acc Uk kama ww n Mtanzania. Ningeomba ufafanue kidogo kama kuna namna ya kufanya hayo maswala online

Also mfano/list ya hizo business documents zinazohitajika na unazipataje
Hapo documents zako unatakiwa kuwa na passport ya kusafiria au Nida ID, proof of address (bank statement, bill za maji zinazosoma jina lako)

Mimi nitakufanyia haya yoote yaliobaki.
1. Kusajiri kampuni UK
2. Kupata address UK
3. Kupata Uk phone number
4. Kupata WISE business account

Hayo yoote unayapata kwa $150 (Tsh 350,000) Tu.

Pia unawa sajiri kampuni US kutumia haya makampuni
1. Stripe atlas = $500 + kodi $100 kila mwaka
2. Doola = $199 + kodi $99 to $150
3. Freelancer wa fiver. Nk wanachaji $150 to 500
 
hivi hayo malipo huwa yanakuwaje unakuta hata apps nyingi wanakuambia lipa kwa VISA card unalipaje yan mwenye uzoefu tafadhal
 
Hivi hii Paypal mnayazungumza haps ni ipi,mbona mimi nimeshawahi kufanya malipo ya bidhaa kutoka China kwa kitumia Paypal acc.kupitia Visa credit card yangu mara nyingi tu,au hapa mnazungumzia kitu tofauti...
 
Kulipa.kupitia PayPal haina shida yoyote ukiwa Tanzania

Shida inayoongelewa ni kupokea malipo ukiwa Tanzania kupitia PayPal

Hapo ndipo ngoma ilipo.Yaani chukulia wewe umeauza bidhaa zako China unataka kulipwa kwa PayPal. TANZANIA hairuhusiwi

Ndicho kinajadiliwa kwenye mjadala.Kulipa inaruhudiwa.
 
Ukiunganisha na account yako ya wise ni ngumu sana kufungiwa account yako coz wanajua upo USA
  • Lakini hili itumike kwa tahadhari
  • Sababu paypal account activity logs zitaonyesha uko tanzania,
  • IP address yako pia ni Tanzania.

Kuna waliojaribu hadi kutumia VPN ili wasionekne kuwa wako Tanzania, lakini baada ya miamala ya kiasi kadhaa walipata shida katika kuverify account zao.
 
mbona mimi nimeshawahi kufanya malipo ya bidhaa kutoka China kwa kitumia Paypal acc.kupitia Visa credit card yangu mara nyingi tu,
  • Kufannya malipo/Kutoa pesa tok kadi yako ya benki kupitia Paypal sio tatizo kwa Tanzania, na ni wengi ndio jinsi wanavytumia.
  • Tatizo lipo hapa | Paypal hairuhusu wewe kupoke fedha kwenye paypal account yako toka kwa Ndugu au Jamaa.
  • Bli paypal wanaruhusu kupokea REFUND kwa manunuzi au huduma uliyolipia awali, na hiyo fedha haikai kwenye account yako ya Paypal bali inapitishwa direct kwenye account yako ya benki yanye kadi husika uliyoweka Paypal.
  • Kwenye huu uzi wadau wanajaribu kueleza jinsi ya ku_Bypass hilo swala la kushidwa kupokea fedha ili uweze kupokea fedha.
== Kidogo Nje ya Mada.
Kwa wanaotumia PayPal, na wako nje ya nchi, wanaweza mtumia Fedha Mtanzania kupitia xoom/paypal na wewe ukapokea direct kwenye namba yako ya simu.
1681011706603.png

=
1681011840513.png
 
Hapo documents zako unatakiwa kuwa na passport ya kusafiria au Nida ID, proof of address (bank statement, bill za maji zinazosoma jina lako)

Mimi nitakufanyia haya yoote yaliobaki.
1. Kusajiri kampuni UK
2. Kupata address UK
3. Kupata Uk phone number
4. Kupata WISE business account

Hayo yoote unayapata kwa $150 (Tsh 350,000) Tu.

Pia unawa sajiri kampuni US kutumia haya makampuni
1. Stripe atlas = $500 + kodi $100 kila mwaka
2. Doola = $199 + kodi $99 to $150
3. Freelancer wa fiver. Nk wanachaji $150 to
Ingefaa uache namba hapa tuwasiliane fresh
 
Hivi hii Paypal mnayazungumza haps ni ipi,mbona mimi nimeshawahi kufanya malipo ya bidhaa kutoka China kwa kitumia Paypal acc.kupitia Visa credit card yangu mara nyingi tu,au hapa mnazungumzia kitu tofauti...
Tunazungumzia kupokea pesa sio kutumia paypal kulipa kitu ila wewe kulipwa
 
  • Kufannya malipo/Kutoa pesa tok kadi yako ya benki kupitia Paypal sio tatizo kwa Tanzania, na ni wengi ndio jinsi wanavytumia.
  • Tatizo lipo hapa | Paypal hairuhusu wewe kupoke fedha kwenye paypal account yako toka kwa Ndugu au Jamaa.
  • Bli paypal wanaruhusu kupokea REFUND kwa manunuzi au huduma uliyolipia awali, na hiyo fedha haikai kwenye account yako ya Paypal bali inapitishwa direct kwenye account yako ya benki yanye kadi husika uliyoweka Paypal.
  • Kwenye huu uzi wadau wanajaribu kueleza jinsi ya ku_Bypass hilo swala la kushidwa kupokea fedha ili uweze kupokea fedha.
== Kidogo Nje ya Mada.
Kwa wanaotumia PayPal, na wako nje ya nchi, wanaweza mtumia Fedha Mtanzania kupitia xoom/paypal na wewe ukapokea direct kwenye namba yako ya simu.
View attachment 2581786

=
View attachment 2581788
Nilikuwa na akaunti ya paypal ya Poland, nikawa nikipokea pesa naijitumia Mpesa via Xoom. Ilikuwa rahisi sana
 
hebu fafanua kidogo mkuu hii ya direct kwenye mpesa....manaake nina visent vyangu paypal ya philipine nataka nivitoee
 
Back
Top Bottom