MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
Nimefungua account hiyo. Wameila umeme. Kazi sana.
Ulikosea process mimi kila mwezi napokea zaidi ya $1000 na hakuna shida yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefungua account hiyo. Wameila umeme. Kazi sana.
Kichwa kina niuma. Nimeshapoteza 200$ kila mtu akinitumia hela kwa njia zingine.Ulikosea process mimi kila mwezi napokea zaidi ya $1000 na hakuna shida yoyote.View attachment 2537153
Jinsi ya kutengeza paypal soma hapa
Unafunguaje acc Uk kama ww n Mtanzania. Ningeomba ufafanue kidogo kama kuna namna ya kufanya hayo maswala onlineIssue ya paypal tanzania inabidi uwe makini saana kama unafanya seriously business, maana unaweza kutumia janja janja mwisho wa siku ukapigwa pin na kibunda chako.
Nilifanya utafiti kwa zaidi ya miezi 6, kuhusu paypal, nilijaribu kila njia ambayo niliambiwa.
Lakini niliambulia 0, nilichofanya ni kuanza kufanya kiuharali zaidi, maana ninafanya seriously business ambayo kwa mwezi naingiza more than $10k.
Hatua nilizofuata ni.
1. Kufungua kampuni uk (unaweza kufungua hata US, but uk ni best and cheap) hapa nime submit business documents zangu, so wanajua mmiliki yuko uk basi.
2. Wise business account (hii ndio naitumia as a bank so nina usd account na gbp account)
So mzunguko wa hela uko hivi.
Mteja ananilipa kwa Paypal -> Na withdrawal to wise bank -> Than inakuja kweny my usd tz bank account (ila unaweza kupokea hata kwa Tsh, ila mimi tu nimechagua ziingie in USD)
So hapa unakuwa salama zaidi, kuliko hizo njia nyigine.View attachment 2562092View attachment 2562093
Kwenye kujaza namba ya simu utahitaji uwe na namba ya Lesotho... na kama kuna uwezekano wa kupata izo namba tusaidianeFungua business paypal account address jaza lesotho.
Itakupa option ya ku add credit card utaweka ya tz.
Pia utapewa option ya kuadd USA bank account hapo ndo utaweka ya wise.
Ukiunganisha na account yako ya wise ni ngumu sana kufungiwa account yako coz wanajua upo USA.
Na hiyo Lesotho je?Fungua business paypal account address jaza lesotho.
Itakupa option ya ku add credit card utaweka ya tz.
Pia utapewa option ya kuadd USA bank account hapo ndo utaweka ya wise.
Ukiunganisha na account yako ya wise ni ngumu sana kufungiwa account yako coz wanajua upo USA.
Hapo documents zako unatakiwa kuwa na passport ya kusafiria au Nida ID, proof of address (bank statement, bill za maji zinazosoma jina lako)Unafunguaje acc Uk kama ww n Mtanzania. Ningeomba ufafanue kidogo kama kuna namna ya kufanya hayo maswala online
Also mfano/list ya hizo business documents zinazohitajika na unazipataje
Jaribu kucheki kwenye app ya dingtone kama wanayo.Na hiyo Lesotho je?
Na hiyo account ya tz je?
Kulipa.kupitia PayPal haina shida yoyote ukiwa TanzaniaHivi hii Paypal mnayazungumza haps ni ipi,mbona mimi nimeshawahi kufanya malipo ya bidhaa kutoka China kwa kitumia Paypal acc.kupitia Visa credit card yangu mara nyingi tu,au hapa mnazungumzia kitu tofauti...
Ukiunganisha na account yako ya wise ni ngumu sana kufungiwa account yako coz wanajua upo USA
mbona mimi nimeshawahi kufanya malipo ya bidhaa kutoka China kwa kitumia Paypal acc.kupitia Visa credit card yangu mara nyingi tu,
Mkuu ikikupendeza anzisha thread juu ya hili, utueleze kwa kina!Fungua wise personal account
Ingefaa uache namba hapa tuwasiliane freshHapo documents zako unatakiwa kuwa na passport ya kusafiria au Nida ID, proof of address (bank statement, bill za maji zinazosoma jina lako)
Mimi nitakufanyia haya yoote yaliobaki.
1. Kusajiri kampuni UK
2. Kupata address UK
3. Kupata Uk phone number
4. Kupata WISE business account
Hayo yoote unayapata kwa $150 (Tsh 350,000) Tu.
Pia unawa sajiri kampuni US kutumia haya makampuni
1. Stripe atlas = $500 + kodi $100 kila mwaka
2. Doola = $199 + kodi $99 to $150
3. Freelancer wa fiver. Nk wanachaji $150 to
Tunazungumzia kupokea pesa sio kutumia paypal kulipa kitu ila wewe kulipwaHivi hii Paypal mnayazungumza haps ni ipi,mbona mimi nimeshawahi kufanya malipo ya bidhaa kutoka China kwa kitumia Paypal acc.kupitia Visa credit card yangu mara nyingi tu,au hapa mnazungumzia kitu tofauti...
Nilikuwa na akaunti ya paypal ya Poland, nikawa nikipokea pesa naijitumia Mpesa via Xoom. Ilikuwa rahisi sana== Kidogo Nje ya Mada.
- Kufannya malipo/Kutoa pesa tok kadi yako ya benki kupitia Paypal sio tatizo kwa Tanzania, na ni wengi ndio jinsi wanavytumia.
- Tatizo lipo hapa | Paypal hairuhusu wewe kupoke fedha kwenye paypal account yako toka kwa Ndugu au Jamaa.
- Bli paypal wanaruhusu kupokea REFUND kwa manunuzi au huduma uliyolipia awali, na hiyo fedha haikai kwenye account yako ya Paypal bali inapitishwa direct kwenye account yako ya benki yanye kadi husika uliyoweka Paypal.
- Kwenye huu uzi wadau wanajaribu kueleza jinsi ya ku_Bypass hilo swala la kushidwa kupokea fedha ili uweze kupokea fedha.
Kwa wanaotumia PayPal, na wako nje ya nchi, wanaweza mtumia Fedha Mtanzania kupitia xoom/paypal na wewe ukapokea direct kwenye namba yako ya simu.
View attachment 2581786
=
View attachment 2581788
hebu fafanua kidogo mkuu hii ya direct kwenye mpesa....manaake nina visent vyangu paypal ya philipine nataka nivitoeeNilikuwa na akaunti ya paypal ya Poland, nikawa nikipokea pesa naijitumia Mpesa via Xoom. Ilikuwa rahisi sana