Paypal Tanzania

Paypal Tanzania

hebu fafanua kidogo mkuu hii ya direct kwenye mpesa....manaake nina visent vyangu paypal ya philipine nataka nivitoee
Mkuu siko sure kama PayPal Phillipines inasupport Xoom. Maana naona akaunti nyingi zinazosupport Xoom ni za US, Canada, yaani bara la america na Ulaya. Kama una akaunti ya hivyo automatically una akaunti ya Xoom maana PayPal na Xoom ni kampuni moja. So waingia Xoom wasema watuma pesa TZ wachagua mobile wallet source ya fund wachagua Paypal then wachagua mtandao namba ya simu jina lilisajiliwa kwenye hiyo namba sometimes watakudai kitambulisho lakini mara nyingi ahwadai then watuma inakuja kwenye simu
 
Kwenye kujaza namba ya simu utahitaji uwe na namba ya Lesotho... na kama kuna uwezekano wa kupata izo namba tusaidiane

Unajaza namba ya tz.

Hakikisha unavyojaza kibendera cha lesotho kiwe chini hapo sio cha tz

Scroll chini uone kibendera cha lesotho.

Harafu chagua business account sio personal
 
Mkuu ikikupendeza anzisha thread juu ya hili, utueleze kwa kina!

Wise.com ni site inayokuwezesha kufungua account za bank za nchi mbalimbali.ukifungua ya US utaiadd kuwa mojawapo ya account yako ys bank coz paypal wanakubali akaunti za bank za ulaya na us pekee

Ingia wise.com fungua account verify kwa kulipia $24 kwa airtel mastercard
 
Sorry kwa usumbufu kwenye kufungua account ya wise... kwenye sehemu ya kuweka country unaweka Tz au Us... Na kama utaweza kuelezea procedure zake zote ntashukuru sana
 
Paypal ya kenya ipo safi.. Unaweza ku withdrawal kupitia Mpesa safaricom then unajihamishia Mpesa vodacom Tz bure kabisa

Chamuhimu hapa n kua na lain ya safarico (Tz zinauzwa hizi lain.. ni suala la connection tu)

Wanaouza hizi lain hua wanauza na picha za ID zake so Paypal wakitaka verification ID unawapa picha ya iyo ID Acc inakua verified.

Mimi nafanya online business na malipo yote nalipw kwa paypal kenya then ndo najirushia Mpesa vodacom Tz

Pia kuna mawakala wanaweza kukutolea hela yako kupitia paypal zao ila wanachaj 10% ya ela unayotoa
 
hebu fafanua kidogo mkuu hii ya direct kwenye mpesa....manaake nina visent vyangu paypal ya philipine nataka nivitoee
Jarb kutengeneza acc ya kenya ukiwa na safaricom line utajihamishia iyo hela kweny paypal yako ya kenya then utaitoa mpesa safaricom na kujihamishia Mpesa vodacom... hawachaj pesa yyt ni free kabisa.
 
Jaman mimi nilikuwa nahitaji kulipia game langu wakanipa option ya kulipia kupitia paypal asa nikisoma hiz process zote naona stoboi
Asa naomba kama kuna mtu anaweza kunilipia kupitia account yake af mm nmepe cash mkononi
 
Paypal ya kenya ipo safi.. Unaweza ku withdrawal kupitia Mpesa safaricom then unajihamishia Mpesa vodacom Tz bure kabisa

Chamuhimu hapa n kua na lain ya safarico (Tz zinauzwa hizi lain.. ni suala la connection tu)

Wanaouza hizi lain hua wanauza na picha za ID zake so Paypal wakitaka verification ID unawapa picha ya iyo ID Acc inakua verified.

Mimi nafanya online business na malipo yote nalipw kwa paypal kenya then ndo najirushia Mpesa vodacom Tz

Pia kuna mawakala wanaweza kukutolea hela yako kupitia paypal zao ila wanachaj 10% ya ela unayotoa
Hao mawakala wapo wapi
 
kulipia mbona simple ata paypal ya Tz inaruusu kufanya malipo mtandaoni

just tengenez paypal ya Tz kawaida then tengeneza VIZA (credit card ya voda) unganisha iyo card na paypal yako weka pesa kweny card nend kweny game wape imail ya paypal moja kw moja watakat kweny card
 
Kumbe kutma ni sio kipengele kupokea ndo tanzania inasumbua
 
Paypal ya kenya ipo safi.. Unaweza ku withdrawal kupitia Mpesa safaricom then unajihamishia Mpesa vodacom Tz bure kabisa

Chamuhimu hapa n kua na lain ya safarico (Tz zinauzwa hizi lain.. ni suala la connection tu)

Wanaouza hizi lain hua wanauza na picha za ID zake so Paypal wakitaka verification ID unawapa picha ya iyo ID Acc inakua verified.

Mimi nafanya online business na malipo yote nalipw kwa paypal kenya then ndo najirushia Mpesa vodacom Tz

Pia kuna mawakala wanaweza kukutolea hela yako kupitia paypal zao ila wanachaj 10% ya ela unayotoa
Duh mjini shule haya, mambo bila watu huwezi kuyajua
 
Unaweza tumia PayPal ya Dubai hata mm natumia hio hio huhitaji kua na namba ya Dubai, Ila address utaweka za dubai, Kisha fungua business account sio personal kweny card tumia wise au chipper Kisha utavuta mpunga wako kirahisi kabisa
 
Mkuu siko sure kama PayPal Phillipines inasupport Xoom. Maana naona akaunti nyingi zinazosupport Xoom ni za US, Canada, yaani bara la america na Ulaya. Kama una akaunti ya hivyo automatically una akaunti ya Xoom maana PayPal na Xoom ni kampuni moja. So waingia Xoom wasema watuma pesa TZ wachagua mobile wallet source ya fund wachagua Paypal then wachagua mtandao namba ya simu jina lilisajiliwa kwenye hiyo namba sometimes watakudai kitambulisho lakini mara nyingi ahwadai then watuma inakuja kwenye simu
Thanks mkuu .
 
Back
Top Bottom