Mkuu siko sure kama PayPal Phillipines inasupport Xoom. Maana naona akaunti nyingi zinazosupport Xoom ni za US, Canada, yaani bara la america na Ulaya. Kama una akaunti ya hivyo automatically una akaunti ya Xoom maana PayPal na Xoom ni kampuni moja. So waingia Xoom wasema watuma pesa TZ wachagua mobile wallet source ya fund wachagua Paypal then wachagua mtandao namba ya simu jina lilisajiliwa kwenye hiyo namba sometimes watakudai kitambulisho lakini mara nyingi ahwadai then watuma inakuja kwenye simu