Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Gaidi amefanya Nini. Why aue Askari tu na ni kwa Nini alikuwa anawapita raia wa kawaida.Jamani hamza ni gaidi msilete story eti za kuzulumiwa dhahabu, huyo ni gaidi wa jihad
Terrible kubwa ni Polisi wa Tanzania kukitumikia chama cha CCM badala ya wananchi👇View attachment 1909809
Drill ya askari mwenye silaha aliyekuwa Gadi ni haruhusiwi yaani ni marufuku kuruhusu mtu yeyote kumsogelea uelekeo wake bila kujitambulisha... "hapo hapo ulipo simama jitambulishe!!!" hii ni command yaani hata awe General Mabeyo lazima atii ndo mengine yafuate la sivyo anaruhusiwa kushoot.Yaani mtu una silaha, umejeruhiwa unakimbilia ufukweni, huo muda anamvua askari mwingine silaha we unakimbia, anakufuata ulipokimbilia anakufyatulia risasi, anachukua tena silaha yako.
Hii habari kama haijapikwa, basi kama ni kweli ni uzembe wa huyo askari aliyekimbia, wadau wanasema kaacha dona kizembe sana.
Hizo nguvu za kukimbia ni bora angejihami, mbinu bora ya kujilinda ni kushambulia any way RIP wazee, acheni tamaa.
Daaah so sad huyo police namfahamu vizuri nimesoma naye Airwing nyumbani kwao ni ukonga Moshi barAnaandika Christopher Cyrilo.
___
PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw. Hamza kwa kushtukiza.
Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia hakuwajibu, ni kama vile alikuwa kwenye dunia yake tofauti. Labda alishaona dunia si mahali salama tena kwake.
Punde, akatoka ufukweni na kurudi uelekeo wa barabara kuu ya Ali Hassan Mwinyi. Akafika kwenye kibanda cha polisi kilichokuwa pembeni ya barabara, akachomoa bastola yake ndogo kutoka kiunoni, akawapiga risasi askari wawili waliokuwemo. Askari mmoja alikufa papo hapo, mwingine alikimbia kuelekea baharini.
Hamza alimvua silaha askari aliyekufa na kuivaa shingoni. Kisha akamfuata askari aliyekimbilia baharini ambaye alikuwa ameishiwa nguvu kutokana na jeraha la risasi. Akampiga risasi nyingine kummalizia kisha akachukua bunduki yake. Hapo akawa na bunduki mbili alizopora baada ya kuwaua Polisi.
Hamza akarudi barabarani na kuanza kuwatafuta askari wengine ili awaue. Alifanikiwa kumuona askari wa barabarani (trafic), akiongoza magari eneo la makutano ya barabara karibu na ubalozi wa Ufaransa. Akamfyatulia risasi na kumuua. Akayapita magari binafsi na daladala za abiria akitafuta askari wengine.
Akamuona askari wa kampuni binafsi ya ulinzi ya SGA, wanaolinda ofisi za Ubalozi wa Ufaransa. Yule askari akataka kukoki silaha kupambana na Hamza lakini akachelewa. Hamza akamuwahi, akampiga risasi na kumuua. Kisha akasogea eneo la ubalozini kupambana na askari wengine waliokuwepo. Lakini polisi wengine wakawa wamefika na katikati ya mapambano wakamuua.
Moja kati ya askari waliouawa na Hamza ni PC Emanuel Keralyo (pichani). Anatajwa kuwa mtu mwema asiye na shida na mtu. Anazungumzwa vizuri na askari wenzie hadi na jamaa waliosoma na kukua nae. Kijana mtulivu, mwenye kumheshimu kila mtu.
Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani!
PIA SOMA:
- Kinondoni, Dar: Mtu asiyejulikana, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi
Kumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu waiteni watt wenu wa mamkubwa wa baba yenu wawasaidieImebakia hapa nyamongo maana polisi wanachukuwa tu vitu vya watu hasa mawe ya dhahabu kwa watu huku wakisema yametoka mgodini halafu Cha ajabu wao wanaenda kuuza bila kuyapeleka kituoni, hii michezo michafu na kupenda rushwa na madili ya kupata hela haraka kama askari wa Kenya italigharimu hili jeshi la polisi
Noma sana!Hamza alipaswa kuwadondosha askari zaidi ya 2,000/=
Aah wapi! Nina ndugu yangu ni askari lakini alishataka kuniingiza mkenge nikamatwe kizembe ili wanipige pesa yeye na wenzake.Tusiwasemee vibaya hawa Askari ni sehemu ya ndugu zetu
sasa iv kule sasa ivi wamepoa sana ila polisi ndo tabia zaoKumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu waiteni watt wenu wa mamkubwa wa baba yenu wawasaidiemuda sana ila vijana wengi
Kumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu waiteni watt wenu wa mam
Kumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu wai
Pole sana mkuu hawa polisi Mimi ninajua michezo yao halafu hayo madini wala huwa hawayapeleki kituoni wala kuyarudisha mgodini ila ipo siku yaoWalituzulumu madini ya milioni 40.
Wakataka rushwa tukawapa laki 4 pesa wakalamba na madini wakalamba pia.
Hizi dhuluma thus wanakufa vibaya.
Chukua kidogo mwachie na mwenzio apate pa kuanzia.
Sio wewe tu ndo una shida na pesa.
Wengine umuachia Mungu, wengine uenda kuloga,hii staili ya hamza ni mpya.
Sisi tulimuachia Mungu.
Poleni sana.Walituzulumu madini ya milioni 40.
Wakataka rushwa tukawapa laki 4 pesa wakalamba na madini wakalamba pia.
Hizi dhuluma thus wanakufa vibaya.
Chukua kidogo mwachie na mwenzio apate pa kuanzia.
Sio wewe tu ndo una shida na pesa.
Wengine umuachia Mungu, wengine uenda kuloga,hii staili ya hamza ni mpya.
Sisi tulimuachia Mungu.
Mkuu hawa mziki wa huku hawauwezi sema tu ni vile watu wanaamua kuacha vitu moyoni ili maisha mengine yaendelee maana ukichukuwa maamuzi ya kiume ndo inakuwa kama hamza tena ila raia wengi Wana malalamiko juu ya hili jeshi kikubwa wabadilike tuKumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu waiteni watt wenu wa mamkubwa wa baba yenu wawasaidie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata mimi nimeshangaa!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Eti: Askari alikua mtu mwema asiye na shida na mtu!
Dah Ema rafiki yangu sana , sitamsahau kwa ushauri wake. Apumzike kwa amani.Anaandika Christopher Cyrilo.
___
PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw. Hamza kwa kushtukiza.
Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia hakuwajibu, ni kama vile alikuwa kwenye dunia yake tofauti. Labda alishaona dunia si mahali salama tena kwake.
Punde, akatoka ufukweni na kurudi uelekeo wa barabara kuu ya Ali Hassan Mwinyi. Akafika kwenye kibanda cha polisi kilichokuwa pembeni ya barabara, akachomoa bastola yake ndogo kutoka kiunoni, akawapiga risasi askari wawili waliokuwemo. Askari mmoja alikufa papo hapo, mwingine alikimbia kuelekea baharini.
Hamza alimvua silaha askari aliyekufa na kuivaa shingoni. Kisha akamfuata askari aliyekimbilia baharini ambaye alikuwa ameishiwa nguvu kutokana na jeraha la risasi. Akampiga risasi nyingine kummalizia kisha akachukua bunduki yake. Hapo akawa na bunduki mbili alizopora baada ya kuwaua Polisi.
Hamza akarudi barabarani na kuanza kuwatafuta askari wengine ili awaue. Alifanikiwa kumuona askari wa barabarani (trafic), akiongoza magari eneo la makutano ya barabara karibu na ubalozi wa Ufaransa. Akamfyatulia risasi na kumuua. Akayapita magari binafsi na daladala za abiria akitafuta askari wengine.
Akamuona askari wa kampuni binafsi ya ulinzi ya SGA, wanaolinda ofisi za Ubalozi wa Ufaransa. Yule askari akataka kukoki silaha kupambana na Hamza lakini akachelewa. Hamza akamuwahi, akampiga risasi na kumuua. Kisha akasogea eneo la ubalozini kupambana na askari wengine waliokuwepo. Lakini polisi wengine wakawa wamefika na katikati ya mapambano wakamuua.
Moja kati ya askari waliouawa na Hamza ni PC Emanuel Keralyo (pichani). Anatajwa kuwa mtu mwema asiye na shida na mtu. Anazungumzwa vizuri na askari wenzie hadi na jamaa waliosoma na kukua nae. Kijana mtulivu, mwenye kumheshimu kila mtu.
Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani!
PIA SOMA:
- Kinondoni, Dar: Mtu asiyejulikana, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi
Bank zipo watu wanaibiwaje?masoko ya madini yapo
Mtu anadhulumiwaje?
Bwana mdogo kapoteza uhaki angali mdogo, kama ilivyo kwa Hamza...
Iwe polisi central au polisi post ukienda umelost.polisi ni polisi