PC ghafla haiwaki, tatizo linaweza kuwa nini?

PC ghafla haiwaki, tatizo linaweza kuwa nini?

Kama ni HP jaribu ku-hold powerbutton for 1 minute.

Ishawai nitokea mara nyingi tu sijui shida inakuwa nini ila jaribu nlichokuambia halafu unipe feedback
 
Kama ni hp jaribu ku-hold powerbutton for 1 minute.ishawai nitokea mara nyingi tu sijui shida inakuwa nini ila jaribu nlichokuambia alf unipe feedback
Sawa nimejaribu imegima mkuu
 
Una uzoefu wowote wa kutatua changamoto za compyuta kama huna Anza kuingia YouTube kujifunza tutorial za kusolve Hizo Ishue kama uelewi na hela ipo peleka Kwa fundi
 
Back
Top Bottom