Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Kama wewe ni msee wa PCB (Physics, Chemistry, Biology) au unayo mtoto anakamua advance na anazidiwa na hizi topics ngumu– basi stop struggling alone, coz I'm the plug you’ve been looking for!
Mimi si mwalimu wa kawaida – niko street smart na book smart all in one.
Najua hizi topics hazicheki na mtu – zenyewe ni kama gang, lakini mimi huwa nazidhibiti kama boss.
Zimeingia topics za moto kama:
Organic Chemistry (ile inawatoa jasho wengi)
Genetics (hapoooo wengi hutaka kulia)
Optics & Electromagnetism (Physics yenye roho mbaya)
Biochemistry (ile inachanganya kila mtu)
Lakini miye nakupiga msasa hadi unakuwa monster wa PCB, unazungusha formula kama unacheza beat! Hakuna kubaki nyuma, hakuna stress – tunapiga grind ya ukweli.
Hii class si ya softies.
Unakuja, unapigwa msasa, unachomoka na A straight up!
Kwa wazazi – mtoe mtoto mtaani, mlete hapa. Atoke akiwa kitu cha hatari kwenye PCB game.
Hit me up – nafasi ni limited!
Serious hustlers only. Let’s make your brain a weapon!