shida ya PCB ni kuthamini sana biology, pia wingi wa masomo(masomo matano mitihani 11 sio mchezo.
PCM ni masomo manne na mitihani 9 so kuna unafuu.
pia maths husaidia sana wanaPCM kuielewa physics tofauti na ilivyo kwa PCB maana wao BAM iko shallow sana tena haina uzito kwao, ndio maana shule kama Mzumbe PCB wanasoma pure maths.
Kifupi PCB hapo inaonekana ndio ngumu kuliko PCM.