PCB na PCM ipi ni ngumu advance kusoma

PCB na PCM ipi ni ngumu advance kusoma

malengo ako ni nn kati a izo mbili....

apo wewe chagua moja.. mm nakushauri PCB kakomae tu kama upo vizur
 
zote ni ngumu hakuna urahis wa hizo kombi cha msingI kukazA msuli tu na kingine kwenye pcb unaongezA BAM ambayO unaongezA mzigo japokuwa hupaswi kufaulu sana bt kwa pcm unakomaA nA pure a.k.a uwanjA wa nyumbani.
 
shida ya PCB ni kuthamini sana biology, pia wingi wa masomo(masomo matano mitihani 11 sio mchezo.
PCM ni masomo manne na mitihani 9 so kuna unafuu.
pia maths husaidia sana wanaPCM kuielewa physics tofauti na ilivyo kwa PCB maana wao BAM iko shallow sana tena haina uzito kwao, ndio maana shule kama Mzumbe PCB wanasoma pure maths.
Kifupi PCB hapo inaonekana ndio ngumu kuliko PCM.
 
yec oviousl pcb iko tyt ukilngansh n pcm mkbw.......ila inategemea unahtaj kuw nan bdy ukikomaaa zote znafaulika mdau mipango2......
 
Back
Top Bottom